Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,570
- 188,776
Pumzika Kwa Amani Simba Wa Africa
Kweli??? Siyo alijipatia mwenyewe na wenzake, familia za komredi zake wa juu? Siyo Grace Mugabe amakamata mashamba ngapi?? Na je masikini wangapi walipata?Mungu ndie anaye jua wapi ataenda ila Mimi namtakia pepo maana alinifurahisha kuchukua mashamba ya wazungu kuwapa wazawa
je umewauliza watoto na wajukuu wa Wandebele 20,000 waliochinjwa na Brigedi ya Tano ya Mugabe mnamo 1982/84?Asilimia kubwa ya ubaya ulionekana kwa Mugabe ni wa 'kuchonga' Wazungu sio watu wazuri!!
Mkuu una I Q yako iko juu ,Huyu mzee na diplomasia zake si ndio kasababisha watu waende kununua simu na toroli la pesa
Wengi wamebaki waganga njaa na kutembeza bakuri, waroho, wezi wala rushwa ndiyo wamebaki Africa. Kizazi kile kilikuwa strong, freedom fighter, patriotic, kweli kweli.Habari wana JF. Africa tungekuwa na viongozi aina hii wengi kwa umoja wetu mabeberu wasingetusumbua. This was Mugabe. Kweli chini kunakula watu bwana