Update record zako mkuu. Simon Group anamiliki 76% ya share baada ya kununua share za jiji na serikali (hazina) bado inamiliki 23%, hivyo technically inatuhusu.kama hujui jua sasa. UDA sio shirika la umma (angalau kwa sasa). simon group na kapuya ndiyo wamiliki.
tuseme uko sahihi. kwa umiliki huo, UDA ni shirika la umma?Update record zako mkuu. Simon Group anamiliki 76% ya share baada ya kununua share za jiji na serikali (hazina) bado inamiliki 23%, hivyo technically inatuhusu.
hakuna mtu anaeweza kukwepa mkono wa JPM,atawatumbua tu!Habari wadau,
Mmiliki wa UDA Ndugu Robert Kisena atangaza kufilisika kwa UDA kutokana na Madeni makubwa anayodaiwa ambayo inazidi fedha zilizomo kwenye account ya UDA.Kampuni hiyo ambayo amesema ina magari kwa sasa 50 ambayo ni spana mkononi.
Madeni hayo ni 2bilioni alizokwepa mwaka 2012 alipoingiza mabasi nchini na kutopeleka Michango ya NSSF na PAYE za wafanyakazi.
Chanzo: Dira
WEZI TU HAWA KWANZA WALISEMA NI SHIRIKA LA UMA ,SASA NI ROBERT KISENA, KESHO UTASKIA KHALFAN WALAH KUNA WAZANDIKI NJI HII SIJAPATA KUONAππππSwali rahisi kwa wana bodi!!!!
Hivi Procedure za kutangaza kuwa kampuni imefilisika hapa Tanzania ni rahisi kiasi hicho? Je kwa kampuni yenye assets na liabilities kubwa kama UDA ni nani anayetakiwa kutangaza kwamba kampuni mefilisika? Hivi si mpaka itafutwe kampuni ya ukaguzi ambayo intergrity yake haina wasiwasi wakague mali na madeni, wakishamaliza wawasilishe hesabu hizo kwenye bodi na bodi iridhike kisha mwanasheria wa kampuni atangazie uma kwa utaratibu uliowekwa?
Hii itakuwa kampuni ya ngapi vile katika kipindi cha miezi chini ya minne kutangaza kufilisika!?
Kama October hivi si na Home Shopping Centre walitangaza kufilisika!?
Cha ajabu mbona hizi zote zinahusishwa na watu fulani!
M
MAGUMASH HAWA NDO WAKWEPA KODI WAKUU
ETI ALIWAHADAA MADREVA KUWA ANAWALIPIA NSSF KUMBE HAJAPELEKA HATA 10 YA MJERUMANI.. NI MWIZIIII
KATI YA MAGARI 284 YAMEBAKI 50 ETI SPANA MKONONIπ ANGEKUWA UCHINANI NADHANI ANGEJINJWA KAMA KUKU KAMA SI KUNYONGWA MPAKA ROHO ITENGANISHWE NA MWILI
KISA CHA HII CC YAKO NINI???????Cc: Kubenea , Zitto , Freeman A. Mbowe , John Mnyika , Halima Mdee , Julius Mtatiro , Balile , Henry Kilewo , Joyce Kiria , Kitila Mkumbo , Yericko Nyerere , Jason Bourne