Robert Amsterdam: We filed today at ICC!! More to come

Mbaya wetu tuna mjua. Kwanini ni mbaya tunajua. Kwanini ni muhimu awajibishwe pia tunajua.

Kwamba mtakuka na vi hoja vyepesi vyepesi kutuhadaa?

Hatudanganyiki!
Shangazi na hawa mara yamaekuwa haya? Shangazi alikuwa anakanywa hasikii, ona sasa kamkosesha baba yake mdogo ulaji sababu ya akina Maalim na Zitto, alafafu leo wamefikia haya? Na hawezi fanya kazi za uwakili bongo mpaka Joni aondoke, na huko Znz hakukaliki. Kweli siasa shikamoo.
 
Hata ama ni mkorofii, ndo tumeSHAMZOEA 🤣🤣🤣🤣🤣🤣.
Kwakweli Joni mkorofi na anatupelekesha, lakini ndo hivyo tena. Tumemzoea. Tundu Lissu agombee tu huko huko Ubelgiji, awe raisi wao au waziri mkuu wao, maaa wao wanamfalme.
Amstadam anapambana eti kwa kisingizio cha kutafuta haki ya Watanzania wakati wale watanzania waliopewa pesa walete fujo wanapambana ili waliowatumia washughulikiwe.
 
Amina.
Ila Wazungu sijui wamempa masharti gani. Kuongea siasa hadi uzuge unapeleka salamu za Christmas! Kugharamiwa nako shida sometimes, kama kuishi ukweni.
Eti Mtu anayeweza kuuza utu wake na uhuru wake ili agharamiwe anataka urais.... huyo kwake kuiuza nchi na vyote vilivyomo sio kazi kabisa
 
Hii ni tweet alioiandika siku ya jana:

Nothing can remedy the suffering of the Tanzanian people who were injured or killed or arrested during the recent election. I want to thank Utibe Ntekim and our team for their excellent work. We filed today at the ICC!! More to come!!

Nyingine ni hii ikihusiana na hiyo ya hapo juu:

All of our work on Tanzania is dedicated to the incredible heroism of Tundu Lissu!! His is an example for the ages! When Tanzania is free it shall have TL as its rightful leader!
Get over this mkuu, mnapoteza muda.. Mtaishia kufile kesi ila hazitakuwa na matokeo.. Amsterdam muhuni anapambana tu muamini hela aliyowapiga imeenda kihalali, stukeni..
 
Hii ni tweet alioiandika siku ya jana:

Nothing can remedy the suffering of the Tanzanian people who were injured or killed or arrested during the recent election. I want to thank Utibe Ntekim and our team for their excellent work. We filed today at the ICC!! More to come!!

Nyingine ni hii ikihusiana na hiyo ya hapo juu:

All of our work on Tanzania is dedicated to the incredible heroism of Tundu Lissu!! His is an example for the ages! When Tanzania is free it shall have TL as its rightful leader!
Huyo mse**e aachane na sisi akatafute hela kwa mabwana wa kiarabu. He is just a stupid person used by economi imperialist and record shows he never has any success apart from causing menace.
 
The art of politics requires also to learn how to loose graceful kama ilivyokuwa kwa Trump na republicans kumpa ukweli mchungu ata wale aliowateua mwenyewe, sometime we got let things go.

In life we got to be realistic not everything is meant to be, Lissu akubali uchaguzi umeisha kuendelea na hizi jitihada ni kuidhoofisha CDM.

Japo ni kesi ya kufikirika and will never amount to anything the fact remains even if it were pursued hao ACT Wazalendo hawapo interested anymore sasa sijui nani atatoa ushahidi mahakamani.

You can’t be so selfish to destroy the interest of the majority, that’s the canon rule of any politician.

It’s time Lissu akubali ata kutumika kuna limitations hii vita ni yake pekee CDM are no longer interested.
 
Wanaotumika na mabeberu watungiwe sheria ya kuwafutia uraia na kuwatimua nchini wanapobainika maana wakiachwa na huu upumbavu wao wataiingiza nchi vitani siku moja.
 
Hii ni tweet alioiandika siku ya jana:

Nothing can remedy the suffering of the Tanzanian people who were injured or killed or arrested during the recent election. I want to thank Utibe Ntekim and our team for their excellent work. We filed today at the ICC!! More to come!!

Nyingine ni hii ikihusiana na hiyo ya hapo juu:

All of our work on Tanzania is dedicated to the incredible heroism of Tundu Lissu!! His is an example for the ages! When Tanzania is free it shall have TL as its rightful leader!

Kweli kundi la nyumbu huongozwa na nyumbu.

Mnashikiwa akili nanyi mnachekelea tu upuuzi na uzushi wa huyo mpuuzi.

Subirini hiyo kesi tutakutana 2025, sijui mtapeleka wapi hiyo kesi maana 2015 mlienda ICJ sasa nadhani 2025 mtaenda ICA wehu nyie.

Fanyeni kazi msiendelee kutapeliwa na jitu lipo linakula bata Ubeligiji na kunenepeana kama Lodi Lofa
 
Back
Top Bottom