Robert Amsterdam: We filed today at ICC!! More to come

Hii ni tweet alioiandika siku ya jana:

Nothing can remedy the suffering of the Tanzanian people who were injured or killed or arrested during the recent election. I want to thank Utibe Ntekim and our team for their excellent work. We filed today at the ICC!! More to come!!

Nyingine ni hii ikihusiana na hiyo ya hapo juu:

All of our work on Tanzania is dedicated to the incredible heroism of Tundu Lissu!! His is an example for the ages! When Tanzania is free it shall have TL as its rightful leader!
It is a sole in the ass to the Lumumba guys. They will explode in furry.
 
Hii ni tweet alioiandika siku ya jana:

Nothing can remedy the suffering of the Tanzanian people who were injured or killed or arrested during the recent election. I want to thank Utibe Ntekim and our team for their excellent work. We filed today at the ICC!! More to come!!

Nyingine ni hii ikihusiana na hiyo ya hapo juu:

All of our work on Tanzania is dedicated to the incredible heroism of Tundu Lissu!! His is an example for the ages! When Tanzania is free it shall have TL as its rightful leader!
ICC haina lolote. Kama kesi ya wazi ya mauaji ya watu Kenya kwenye uchaguzi walishindwa kumtia hatiani mtu yeyote, hii ya TZ ambayo ni ya mauaji ya kufikirika ndiyo watamtia mtu hatia. Sisi wenyewe tumetulia na kujiendeshea maisha yetu, anakuja mtu kutulazimisha tukubali kuwa tulipigwa na kuawawa wakati wa uchaguzi. Kesi ingekuwa na nguvu kama ilikuwa na madai ya "election irregularities" na hili siyo kosa, maana hili hutokea kila nchi, maana hata Trump kadai kuibiwa kura!
 
Kuingia na mabegi ya kura zilizokwisha tiliwa tiki kwa wagombea wote wa ccm ilikuwa ni uhaini kama ulivyo uhaini mwingine.
 
Hii ni tweet alioiandika siku ya jana:

Nothing can remedy the suffering of the Tanzanian people who were injured or killed or arrested during the recent election. I want to thank Utibe Ntekim and our team for their excellent work. We filed today at the ICC!! More to come!!

Nyingine ni hii ikihusiana na hiyo ya hapo juu:

All of our work on Tanzania is dedicated to the incredible heroism of Tundu Lissu!! His is an example for the ages! When Tanzania is free it shall have TL as its rightful leader!
KUBWA JINGA
 
The art of politics requires also to learn how to loose graceful kama ilivyokuwa kwa Trump na republicans kumpa ukweli mchungu ata wale aliowateua mwenyewe, sometime we got let things go.

In life we got to be realistic not everything is meant to be, Lissu akubali uchaguzi umeisha kuendelea na hizi jitihada ni kuidhoofisha CDM.

Japo ni kesi ya kufikirika and will never amount to anything the fact remains even if it were pursued hao ACT Wazalendo hawapo interested anymore sasa sijui nani atatoa ushahidi mahakamani.

You can’t be so selfish to destroy the interest of the majority, that’s the canon rule of any politician.

It’s time Lissu akubali ata kutumika kuna limitations hii vita ni yake pekee CDM are no longer interested.
We CDM are morethan interested. We long patiently for that day, when the ballot robbers and killers will stand before a court of Justice to answer for their deeds.
Please Comrade Lisu,keep it up, millions are behind you.
 
Kuna upuuzi kuzidi ule wa kuingia na mabegi ya kura kwenye vituo vya kupiga kura?
Mtaendelea kuamini akili za wa wapumbavu na malofa, ambao wanataka kuwatumia waingie madarakani. Km baada ya kushindwa vibaya kwenye sanduku la kura wanawajaza hoja ya "mabegi ya kura kwenye vituo vys kupigia kura". LAKINI wakati huu wa TEHEMA wangeyakusanya na kuyaonesha ili dunia yote ione. Ili kuficha aibu ya kushindwa vibaya wakatoroka nchi na waliobaki wanasutana wenyewe kwa wenyewe kugombania nafasi za "ubunge wa viti maalumu". AIBU
 
Hizo kesi ni mwanzo mzuri Wa kudai katiba Mpya na tume huru ya uchaguzi.
Kuna madai ya msingi yanayohusu kero za maendeleo (maji, barabara, elimu, afya, nk) kwa jamii ya WaTz wengi kuliko hiyo ya wachache kutafuta upenyo wa kuingia madarakani
 
Zanzimana Jiwe hata umpe miaka Mia Hana chochote anachoweza kufanya zaidi kuumiza , kuharibu ,kudhuru ,fukuza, tengua, teua , lakini maendeleo ni ziro .
Angalau miaka 5 amefanya mageuzi ya kiuchumi na maendeleo yaliyo wazi kuliko viongozi wote nchini (Serikalini na makampuni binafsu)
 
Huyo Amsadam mwambieni tunasubiri watu waingizwe barabarani na yule basha wke.

Hizo kesi kuna watu wanapigwa km tundu alivyopiga kwenye kampeni.
 
Kuna madai ya msingi yanayohusu kero za maendeleo (maji, barabara, elimu, afya, nk) kwa jamii ya WaTz wengi kuliko hiyo ya wachache kutafuta upenyo wa kuingia madarakani
Utasema yote lakini baada ya uchaguzi wa 2020 siasa za Tanzania zitabadilika na uhuru wa watu kumchagua kiongozi wanaempenda utakuja.
 
Back
Top Bottom