Road licence wizi mtupu

kahwa29

Member
Jul 28, 2017
10
9
Kama daladala ya kariakoo_Tegeta inatumia lita 150 kwa siku.....
Na kama serikali imeongeza sh 40 kwa lita kama mbadala wa motor vehicle road license...
Kama dalaladala hiyo ilikuwa ikilipa road license sh 350,000 kwa mwaka...
Ukikokotoa kutumia siku 300 kwa mwaka; daladala hiyo italipa road license sh 1,800,000 badala ya sh 350,000 za sasa... nilishangaa sana makofi ya wabunge ktk hotuba ya bajeti kufurahia kinachoitwa kufuta road license....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nakubaliana nayo kwa msingi kwamba unalipia kadri ya unavyotumia barabara,
 
Kama daladala ya kariakoo_Tegeta inatumia lita 150 kwa siku.....
Na kama serikali imeongeza sh 40 kwa lita kama mbadala wa motor vehicle road license...
Kama dalaladala hiyo ilikuwa ikilipa road license sh 350,000 kwa mwaka...
Ukikokotoa kutumia siku 300 kwa mwaka; daladala hiyo italipa road license sh 1,800,000 badala ya sh 350,000 za sasa... nilishangaa sana makofi ya wabunge ktk hotuba ya bajeti kufurahia kinachoitwa kufuta road license....

Sent using Jamii Forums mobile app

Kwahiyo ndio unataka usemeje?! Umefikiria kwa gari ambalo muda mwingi limefungiwa ndani bila kutumiwa, nalo lilikuwa linalipa RL 350,000?

Ungekuwa na chombo chochote cha moto, ungewaelewa waliokuwa wakipiga makofi.

Africa shida sana, hatuna jema hata moja?!
 
sidhani kama amemaanisha hivyo ule ni mfano, kweli hiyo arobaini ni hela nyingi sana hawakupiga tu hesabu wengi walifurahi kufutwa tu,ingekuwa sawa hii arobaini ikapunguzwa hata kubaki ishilini
 
Sasa mkuu huoni kwamba wewe ndio ulikua unaiibia serikari?? kama uliweza kuweka litre 150 kwa siku manake ulikua unaingiza pesa nyingi sana wakati unalipa pesa kidogo kwenye road licence, mimi nilikua nalipa laki 2 na 30 wakati kwa mwaka natumia mafuta kidogo sana, ambapo sasa ni kama nachangia 100,000 kwa mwaka, kikubwa ni kupambana na hali yako, ukiona unaibiwa ukifisha litre zinazolipa road licence 350,000 kama uliyokua unalipa mwanzo, paki gari yako kula mawe hadi mwaka uishe.
 
Wengi bungeni wanapiga makofi si kwa ajili ya hoja zilizotolewa ni kwa sababu wamemaliza siku, posho jioni inaingia na kesho wanakuja kupiga tena mkono kuingia mdomoni
 
sidhani kama amemaanisha hivyo ule ni mfano, kweli hiyo arobaini ni hela nyingi sana hawakupiga tu hesabu wengi walifurahi kufutwa tu,ingekuwa sawa hii arobaini ikapunguzwa hata kubaki ishilini
 
Hukuna jambo litakalofanyika na kumfurahisha/kumnufaisha kila mmoja.
 
mimi nimeipenda sana,hakuna kuvutana vutana na watu,sasa hivi wagambo wataanza kujifunza kilimo.
kila aina ya kodi inakatwa huko kwenye manunuzi yako.
 
Kama daladala ya kariakoo_Tegeta inatumia lita 150 kwa siku.....
Na kama serikali imeongeza sh 40 kwa lita kama mbadala wa motor vehicle road license...
Kama dalaladala hiyo ilikuwa ikilipa road license sh 350,000 kwa mwaka...
Ukikokotoa kutumia siku 300 kwa mwaka; daladala hiyo italipa road license sh 1,800,000 badala ya sh 350,000 za sasa... nilishangaa sana makofi ya wabunge ktk hotuba ya bajeti kufurahia kinachoitwa kufuta road license....

Sent using Jamii Forums mobile app
Tulipe kod kwa sasa hvy kila mtu alipe kama abavyotumia na sio flat rate

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa mkuu huoni kwamba wewe ndio ulikua unaiibia serikari?? kama uliweza kuweka litre 150 kwa siku manake ulikua unaingiza pesa nyingi sana wakati unalipa pesa kidogo kwenye road licence, mimi nilikua nalipa laki 2 na 30 wakati kwa mwaka natumia mafuta kidogo sana, ambapo sasa ni kama nachangia 100,000 kwa mwaka, kikubwa ni kupambana na hali yako, ukiona unaibiwa ukifisha litre zinazolipa road licence 350,000 kama uliyokua unalipa mwanzo, paki gari yako kula mawe hadi mwaka uishe.
Hahahahahah, , ushaur mzur sana huo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hakuna wizi dala dala mnatumia sana barabara me natoka nafika ofisini napaki gari natumia tena jioni .. lakini wewe unaenda hata mara 10 halafu unataka tulipe matumizi sawa ya barabara.. serikali ipo sahihi kabisa... ukiona huwezi usitumie barabara mkuu...
 
Road license ilikuwa kero japo inaonekana ni ndogo uzuri wa kukatwa ktk mafuta pesa haiumi na hufatiliwi barabarani...ukipaki sawa ukiendesha sawa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwahiyo ndio unataka usemeje?! Umefikiria kwa gari ambalo muda mwingi limefungiwa ndani bila kutumiwa, nalo lilikuwa linalipa RL 350,000?

Ungekuwa na chombo chochote cha moto, ungewaelewa waliokuwa wakipiga makofi.

Africa shida sana, hatuna jema hata moja?!
Vipi wanaonunua mafuta kwa ajili ya Jenereta au Mitambo mingine isiyokua magari?
Ni wizi au sio Wizi
 
Kama daladala ya kariakoo_Tegeta inatumia lita 150 kwa siku.....
Na kama serikali imeongeza sh 40 kwa lita kama mbadala wa motor vehicle road license...
Kama dalaladala hiyo ilikuwa ikilipa road license sh 350,000 kwa mwaka...
Ukikokotoa kutumia siku 300 kwa mwaka; daladala hiyo italipa road license sh 1,800,000 badala ya sh 350,000 za sasa... nilishangaa sana makofi ya wabunge ktk hotuba ya bajeti kufurahia kinachoitwa kufuta road license....

Sent using Jamii Forums mobile app
ndio wabunge wetu hao, wanalinda matumbo yao tu, hawacheki raia wa kawaida anaumia vipi
 
Vipi wanaonunua mafuta kwa ajili ya Jenereta au Mitambo mingine isiyokua magari?
Ni wizi au sio Wizi

Mti mkubwa unaweza uwe kizuzi cha maendeleo, kama ujenzi wa barabara majengo nk. SasA unapo katwa vitu vingi huathirika, kama vile ndge waliokuwa wakiufnya ni makazi yao. Wachawi waliokuwa wakiutumia kama camp yao. Majani na miti mingine midogo kuuzunguk huo mti mkubwa.

Jambo jema la serikali kuiondoa RL na kuiweka ktk mafuta, wengi watafaidika kulikoni wachache watakao athirika. hata hivyo nani anatumia jenereta 24/7 now?

Magari mengi yaliofungiwa ndani na gerej now yapo road, hivyo manunuzi ya mafuta lazma yatakuwa yameongezeka..!

wachawi nilio waongea kwny huo mti mkubwa, ni wale watu wenye ofisi zao samora av zenye kuuza rl feki zilizo tengenezwa china....i guess stock ipo kubwa sana store na hamna wa kumuuzia. Lazma walalamike mti wao kupigwa chini
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom