Road licence Kufutwa

Road licence Kufutwa

Ngongo

Platinum Member
Joined
Sep 20, 2008
Posts
21,178
Reaction score
37,475
Wadau wenye magari kuna taarifa kwamba ile fee ya road licence uenda ikafutwa kuanzia tarehe 1 July 2014 na badala yake tutailipia kwenye mafuta moja kwa moja.

Gari langu lilikuwa garage kwa matengenezo na nilitakiwa kulipa kuanzia 20 May 2014 nimeamua kulipaki nyumbani hadi mwezi July 2014 nadandia daladala mtindo mmoja.

Nawasilisha.
 
Ni habari njema kabisa mkuu Ngongo! Kikweli ilikuwa ni mzigo sana! Tusali tukiomba Mungu na ile charge ya Fire Extinguisher waiote nayo!
 
Yaani road licence imaeisha May 2014 unaogopa kuendesha? Aissee wewe ni mzalendo. Yaani kama ni mie hilo naliendesha mbele ya mkuu wa ma trafiki duniani na hanikamati.

kwa nini hatakukamata nijuze na mimi nijue
 
Mpaka sasa mafuta yetu ni ghali kuliko majirani zetu wote kwa sababu ya vikodi na tozo nyingi kuwekwa kwenye mafuta. Kuongeza tozo ya road license kwenye mafuta ni ufisadi maana tutalipa gharama kubwa zaidi ya tulipavyo kwa sasa. SWALI: Road license fee ni nini? na kwa nini tunalipa tena TZS 40 kwa kila liter kwa ajili ya Road Fund?
 
watu wengine waoga sana,siwezi nikapanda daladala kwa ajili ya hiyo

Nimemshangaa sana, mie fees hizi nalipa nikiamua.

kwa nini hatakukamata nijuze na mimi nijue

Kuvunja sheria ni hobby na haifundishiki, kuna raha yake. Hasa kama kosa lenyewe dogo kama hili.
Na ukitaka kujipima, jiulize, shuleni ulikuwa kati ya watiifu au watukutu? Kama ni mtukutu, ulikuwa mtukutu kwa hiari au kwa kulazimishwa na mazingira. Kama ulikuwa mtukutu wa hiari, trafiki hakushiki kwa road licence tu.
 
Ulivoipack unajiona bonge la mjanja sio
 
Kama ndiyo hivyo bora kulipa RL, hapo mjue mafuta yatapanda!
 
Nimemshangaa sana, mie fees hizi nalipa nikiamua.

Kuvunja sheria ni hobby na haifundishiki, kuna raha yake. Hasa kama kosa lenyewe dogo kama hili.
Na ukitaka kujipima, jiulize, shuleni ulikuwa kati ya watiifu au watukutu? Kama ni mtukutu, ulikuwa mtukutu kwa hiari au kwa kulazimishwa na mazingira. Kama ulikuwa mtukutu wa hiari, trafiki hakushiki kwa road licence tu.
Kuna rafiki yangu mmoja alishasema hakuna kiumbe alizaliwa kuwa criminal,serikali inafanya watu wawe criminals
 
Hapo lazima ujiandae kuwahonga 5,000/= kila wakikukamata.

Yaani road licence imaeisha May 2014 unaogopa kuendesha? Aissee wewe ni mzalendo. Yaani kama ni mie hilo naliendesha mbele ya mkuu wa ma trafiki duniani na hanikamati.
 
Kuna dalili ya kuingia mjini kwa kibali cha jiji kama bodaboda! Serikali inatafuta mbinu zote kuingiza mapato ya nchi.
 
Gari yangu hailipiwi hzo kodi ndogondogo na hata plate namba natumia fake na sijawahi kuulizwa na nmeingia nalo hadi posta mara kibao tu nadhani hua wanaangalia na mtu mwenyewe lkn mm hua ukinisimamisha napiga lugha ya malkia mwanzo mwisho na hv wengi wao vilaza tena naminya ulimi mwisho nasiki MR AROVERA GO!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom