....Rizzla..No 1..... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

....Rizzla..No 1.....

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by mtu chake, Mar 15, 2012.

 1. mtu chake

  mtu chake JF-Expert Member

  #1
  Mar 15, 2012
  Joined: Aug 20, 2010
  Messages: 4,090
  Likes Received: 1,262
  Trophy Points: 280
  Karatasi laini sana..hii na ina maandishi haya

  ....No 1 in Africa
  ....Art of Rolling
  ....Roll your Own...

  Najua zinalipiwa kodi wakati wa kuingia Nchini.

  Je zinaingizwa kwa matumizi yepi?.....mbona zinatumika kusokotea misokoto ya Bangi?

  au ina Matumizi Mengine hii Rizzla...?
   
 2. Mkirua

  Mkirua JF-Expert Member

  #2
  Mar 15, 2012
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 5,667
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Subiri wazee wa ndumu waingie maana mie nashangaa...
   
 3. B'REAL

  B'REAL JF-Expert Member

  #3
  Mar 15, 2012
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 3,107
  Likes Received: 173
  Trophy Points: 160
  inaingizwaaa kwa matumizii ya kunyongeaaa tumbaku,ilaaa wanajuaa yanavutiwaa bangeee.....
   
 4. mtu chake

  mtu chake JF-Expert Member

  #4
  Mar 15, 2012
  Joined: Aug 20, 2010
  Messages: 4,090
  Likes Received: 1,262
  Trophy Points: 280
   
 5. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #5
  Mar 15, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  bebi...hizi si zinatumika kuvuta tumbaku...au wewe unataka kusema ni za nini....?
   
 6. mtu chake

  mtu chake JF-Expert Member

  #6
  Mar 15, 2012
  Joined: Aug 20, 2010
  Messages: 4,090
  Likes Received: 1,262
  Trophy Points: 280
  bebi..unajua hizi zinanichanganya sana..umeona post za jamaa hapo?..na kwann polisi akikuta nazo wanakukamata?
   
 7. Ndechumia

  Ndechumia JF-Expert Member

  #7
  Mar 15, 2012
  Joined: Jul 15, 2011
  Messages: 1,015
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  mi nafikiri zinaingizwa kimagendo, ngoja waje wenyewe watatuambia
   
 8. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #8
  Mar 15, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  mbona zipo dukani na zinauzwa tu hata jana nimenunua.....?

   
 9. mtu chake

  mtu chake JF-Expert Member

  #9
  Mar 15, 2012
  Joined: Aug 20, 2010
  Messages: 4,090
  Likes Received: 1,262
  Trophy Points: 280
  najua ziko madukani...najiuliza wanajua zinatumika katika nini?..na wewe ulinunua ulikua unazitumia wapi?
   
 10. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #10
  Mar 15, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  bebii...si unajua huku Yaeda unatoa rizzla unapewa ng'ombe.....au wewe mgeni hapa Kapernaum....

   
 11. gambachovu

  gambachovu JF-Expert Member

  #11
  Mar 15, 2012
  Joined: Dec 29, 2011
  Messages: 1,865
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Unaweza kushangaa ma-soldier hasa lile la Wananchi ndiyo wanaongoza kwa utumiaji wa Rizzla!
   
 12. mtu chake

  mtu chake JF-Expert Member

  #12
  Mar 15, 2012
  Joined: Aug 20, 2010
  Messages: 4,090
  Likes Received: 1,262
  Trophy Points: 280
  mh..rizzla kwa Ng'ombe....sio ulikuwa unatoa kitu..ujichome?..bebi kumbe unajichoma eeh
   
 13. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #13
  Mar 15, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  matumizi mengine inatumika kusokotea goso au tumbaku ya kienyeji..
   
 14. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #14
  Mar 15, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  no.....siungui...ni bata tredi....toa Rizzla pata ng'ombe.....hiyo ndio kuungua sasa.....?
  btw.....ndumu sio noma....noma ni sisi tunaipiga huku tumekula ugali dagaa...au viazi vya kuchemsha....ha ha ha ha....ndumu is there to stay....
   
 15. mtu chake

  mtu chake JF-Expert Member

  #15
  Mar 15, 2012
  Joined: Aug 20, 2010
  Messages: 4,090
  Likes Received: 1,262
  Trophy Points: 280

  bebi nasikia ukila kijit/ndumui..unapafomu vizuri sana katika gemu..kweli?..maana unaitetea sana
   
Loading...