Riziwani Kikwete pole sana

Riziwani Kikwete pole sana

99% ya Muslim they won't vote for CDM 2015 so jifuraisheni tu hapa kilasiku kuwatusi hapa mara mmekaririshwa madrasa mara kaziyenu kula ubwabwa mara hamjasoma so u think they will go and vote for u people !? Kama mnawaona WAislam wajinga bs ujingawao mtauwona vizuri 2015 ."....I'm Muslim and I'm proud 2 be Muslim siwezi kwenda kumpigia kura mtu anaenikashifu Kila siku .naukifuatilia kwa undani watu wote wanao wakashifu WAislam ni wafuasi wa CDM so inaniwia vigumu kuelewa malengo Yao ....wakati Niko chuo nilikua mfuasi mzuri wa CDM Kama miaka miwili nyuma .Baada ya kuijua JF nikawajua vizuri wafuasi wa CDM Wana tapishwa na WAislam nimepoteza hamnacho

sio kweli
 
dini na siasa ni kitu kimoja ccm ni dhaifu na inajaribu kuwatumia waislamu dhaifu kwa mtaji wao kuna mamilioni ya waislamu wenye kuelewa lakini ccm inawayumbisha waislamu wengi kwa umasikini wao kwa kuwafuturisha halafu wanasema mbona chadema hawajawalisha futari stupid idea from ccm.QUOTE=ruttashobolwa;4312661]sio kweli[/QUOTE]
 
Naomba mambo yafuatayo yafahamike.
Mosi, Chadema kwa mujibu wa katiba yake haina udini wala haibagui dini ya mtu yo yote, kwa hiyo, Kiongozi yo yote wa Chadema atakayembagua mtu kwa msingi wa jinsia,dini,kabila nk anakwenda kinyume na Katiba na kanuni zetu. Ktk hilo sihitaji ruhusa yaMbowe au Slaa kuwaelezea. Liko wazi ndani ya katiba.
Pili, nijuavyo, hakuna kiongozi wala mwanachama ye yote wa Chama chetu anayefanya hivyo. Kama kuna mtu yo yote mwenye ushahidi wa jambo kama hilo auweke hapa au anipigie my namba is open. Mimi nitapeleka hoja hiyo ktk baraza kuu la Taifa lijalo ila asilete majungu.
Tatu, kati ya viongozi 6 wa juu kabisa wa Chadema, mkiti Taifa na makamu 2 katibu mkuu na manaibu 2 na Mwenezi. Waislamu ni 4 na wakristo ni 3. Hoja ya udini mtaijadili ktk kikao gani? Kamati kuu imejaa waislamu. Baraza kuu wanataka kila wilaya za bara na visiwani. Je, hoja za udini utajadili ktk kikao gani? Mimi nashauri propaganda hizi za udini ni hatari sana kwa mustakabali wa Taifa letu. Nawashauri kwa upendo na kwa nia njema tuiache vinginevyo tunatafuta balaa.

 
Azidi kuiibia hii nchi akijua raisi atakuwa jirani yake ili amwonee aibu.
 
Back
Top Bottom