Riziwan awavuruga UVCCM Dodoma na mamilioni

Lete vithibitisho kwa unayosema.

Hata vidhibitisho vikiletwa utataka iundwe kamati. Maana hamchelewi kusema kuwa siyo pesa bali ni vitu vizito kutoka kwa wapinzani ndiyo wamewapa wana UVCCM ili wakichafue chama chetu.
 
Unahitaji vithibitisho gani.Ni jambo la ajabu kabisa kuona kijana anatumia wadhifa wa baba yakwe ku-dictate uongozi uliochaguliwa kihalali.UVCCM haiwezi kuamuliwa mambo yake na familia moja na wakae wakijua hilo halitafanikiwa.Watu wapo radhi hata kutumia nguvu na kuomba ushirikiano kwa vijana ambao wako nje ya chama
Mkuu wale mamluki uliowasema kwenye ile thread ndio mmojawao? Wewe ulisema kuna watu wanatumiwa na akina Ben Saanane ambao wapo nje ya CCM mbona na wewe unasema mtaomba ushirikiano kwa vijana ambao wako nje ya chama? Ni wapi hao, wa CHADEMA au? Mkuu naona hali imezidi kuwa ngumu na mwishowe huenda ukashindwa kuiacha UVCCM kwenye Mikono salama kama ulivyosema kwe thread moja humu. Naona mmeshindanwa sasa mnakimbilia nje ya Chama, mnadhani huko mtakuwa salama au ndio mnaenda kuzikana?
 
Mtoto Rais Jakaya Kikwete, Riziwan, ambaye yupo Dodoma kuhudhuria vikao vya Kamati ya utekelezaji na Baraza kuu la vijana huko Dodoma amewavuruga vijana wenzake baada ya kuzidiwa hoja na vijana wengi nchi nzima kwenye vikao hivyo, sasa akaanza kutumia nguvu ya mamlaka/dola na mabilioni ya pesa ambayo amejitengenezea katika kipindi hiki cha Urais wa baba yake.

kwanza, anamtumia mtumishi wa UVCCM, Mzee Mipiko kubadilisha muhtasari/minutes za vikao vyote ili kuweza kulinda hoja zake ambazo alishindwa kwenye vikao. na kwasababu maamuzi ya UVCCM bado yanahitaji baraka za baba yake/ mwenyekiti wa chama, basi anataka kupeleka mapendekezo ambayo ni ya kulinda maslahi yake na Membe. bahati mbaya Katibu mkuu Shigela amekuwa makini sana na hata akamtonya Makamu Beno na muhtasari zote zikabadilishwa na zinaendelea kubadilishwa kutokana na mapendekezo ya vikao vya vijana.

pili, katika kujaribu kuanza kufanya kampeni ya watu kwenye uchaguzi nchi nzima na taifa, kwanza ni jambo ambalo linashangaza wengi, kwasababu anafanya kama vile Kikwete anautafuta Urais wa awamu ya tano au labda yeye angaombea. Kwakweli amejenga historia mpya ya familia za marais kwa nchi yetu ya Tanzania. Kwahiyo jana usiku aliwaita MAKATIBU WOTE wa MIKOA wa UVCCM na kuwapatia kila mmoja Tsh MILIONI MOJA, maana yake kama takribani MILIONI 30 jumla, na akwapa maelekezo na kuwatishia wengine kwamba wasipotii, ajira zao zitasitishwa. Haya nia matumizi mabaya sana ya madaraka na fedha za umma. Tunaomba tuikemee wote.

The end justifies the means
 
Mbona unalalamika? chukua hatua, au hujui namna ya kuchukua hatua? leta vithibitisho kama kweli au nawe ni majungu? Kumbuka George Bush Senior na George Bush Junior! kama anaweza politics anao uhuru huo na wewe kama unaweza politics shindana nae kama hauwezi kushindana hilo suala lingine, Punguza majungu na jaziba, then you have to rember the rule of Survival of the fittest.

the fittest kwa hela zetu?
 
Kaza buti Ridhiwani, pangua safu ya ushambuliaji, weka mapandikizi na usiwe dhaifu kama babaako
 
Ukishangaa ya ridwani utayaona ya babu slaa. Mzee mzima anahamasisha wahandishi wa habari eti waandamane mfululizo kila kona kila siku. Mbona alipouwawa kada wa ccm singidaouwawa hakusema watu waandmane. Na chacha wangwe je?? Acha unafiku babuu na wajukuu zako
 
Mtoto Rais Jakaya Kikwete, Riziwan, ambaye yupo Dodoma kuhudhuria vikao vya Kamati ya utekelezaji na Baraza kuu la vijana huko Dodoma amewavuruga vijana wenzake baada ya kuzidiwa hoja na vijana wengi nchi nzima kwenye vikao hivyo, sasa akaanza kutumia nguvu ya mamlaka/dola na mabilioni ya pesa ambayo amejitengenezea katika kipindi hiki cha Urais wa baba yake.

kwanza, anamtumia mtumishi wa UVCCM, Mzee Mipiko kubadilisha muhtasari/minutes za vikao vyote ili kuweza kulinda hoja zake ambazo alishindwa kwenye vikao. na kwasababu maamuzi ya UVCCM bado yanahitaji baraka za baba yake/ mwenyekiti wa chama, basi anataka kupeleka mapendekezo ambayo ni ya kulinda maslahi yake na Membe. bahati mbaya Katibu mkuu Shigela amekuwa makini sana na hata akamtonya Makamu Beno na muhtasari zote zikabadilishwa na zinaendelea kubadilishwa kutokana na mapendekezo ya vikao vya vijana.

pili, katika kujaribu kuanza kufanya kampeni ya watu kwenye uchaguzi nchi nzima na taifa, kwanza ni jambo ambalo linashangaza wengi, kwasababu anafanya kama vile Kikwete anautafuta Urais wa awamu ya tano au labda yeye angaombea. Kwakweli amejenga historia mpya ya familia za marais kwa nchi yetu ya Tanzania. Kwahiyo jana usiku aliwaita MAKATIBU WOTE wa MIKOA wa UVCCM na kuwapatia kila mmoja Tsh MILIONI MOJA, maana yake kama takribani MILIONI 30 jumla, na akwapa maelekezo na kuwatishia wengine kwamba wasipotii, ajira zao zitasitishwa. Haya nia matumizi mabaya sana ya madaraka na fedha za umma. Tunaomba tuikemee wote.

Siku zote uko wapi kama hujui chaguzi zote za CCM uamuliwa na pesa?

Pole sana mkuu!
 
quote_icon.png
By mohamedi tantawi
Beno malisa umeua uvccm kwa njaa zako.huna lolote wewe msaliti mkubwa wa vijana wa tanzania.

Beno malisa umeua uvccm kwa njaa zako.huna lolote wewe msaliti mkubwa wa vijana wa tanzania.

UVCCM ya Beno Malisa ime-fail ukilinganisha na UVCCM za Wenyeviti wengine waliotangualia, kwanza hajui siasa.
 
Back
Top Bottom