Riziki Said Lulinda aliyeteuliwa na Rais Magufuli kuwa Mbunge ni nani hasa?

Kwanini Wanawake hampendani hivyo asiee. Yaani ya kina Mdee kulamba shavu la viti maalumu yamekuuma bado na huyu mama wa watu ambae hata hukuwa kumfahamu nae imekuumiza kupewa shavu Basi nenda mwenyewe Sasa kwa jiwe ukaombe uteuzi ili uache kuja kuuliza maswali ya kinafiki hapa JF.
View attachment 1637439

Wengi tunajadili sana uteuzi wa Polepole kuwa mbunge, ambaye anafahamika zaidi kutokana na nafasi yake ndani ya CCM , lakini kuna mwingine aliyeteuliwa kuwa mbunge sambamba na Polepole , anaitwa Riziki Lulinda .

Taarifa zinaonesha kwamba Mama huyu aliwahi kuwa mbunge wa CUF kabla ya kuhamia CCM, sasa swali langu ni hili, huyu mama ni nani hasa mpaka ateuliwe yeye huku wafia chama waliopiga push up majukwaani sambamba na Mwenyekiti wao watelekezwe ?

Ana umuhimu gani huyu mtu kiasi cha kuchukua nafasi katika hizo chache zisizozidi 10?

Mwenye majibu atusaidie.
 
Kwanini Wanawake hampendani hivyo asiee. Yani ya kina mdee kulamba shavu la viti maalumu yamekuuma bado na huyu mama wa watu ambae hata hukuwa kumfahamu nae imekuumiza kupewa shavu Basi nenda mwenyewe Sasa kwa jiwe ukaombe uteuzi ili uache kuja kuuliza maswali ya kinafiki hapa jf.
Kuuliza si ujinga
 
Kwanini Wanawake hampendani hivyo asiee. Yani ya kina mdee kulamba shavu la viti maalumu yamekuuma bado na huyu mama wa watu ambae hata hukuwa kumfahamu nae imekuumiza kupewa shavu Basi nenda mwenyewe Sasa kwa jiwe ukaombe uteuzi ili uache kuja kuuliza maswali ya kinafiki hapa jf.
Kumbe Erythrocyte ni mama? Oh sikujua, naomba kama ni kweli anisamehe
 
Huyu ni mchezaji wa kuazima kutoka CUF siunajua tena CCM kuna uhaba wa viongozi.
Sure CCM haina viongozi kabisa. Huwa na waambia watu ukitaka kujulikana na kuja kuwa kiongozi na kula maisha serikali ya Tanzania baasi jiunge kwanza na upinzani ili uwezo wako ujulikani.Vijana wa UVCCM ni nyumbu tu.

Anayefuata ni JOSHUA NASARI na LUJUALIKALI
 
Back
Top Bottom