Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,789
- 218,431
Shukrani sana mkuuKama alikuwa CUF then akahamia CCM na sasa kapewa Ubunge jimbo la Ikulu, huyu bila shaka ni Afisa Kipenyo
If it quacks and walks like a duck, then it is a duck
SijuiKabila gani
Ni mmwelaKabila gani
View attachment 1637439
Wengi tunajadili sana uteuzi wa Polepole kuwa mbunge , ambaye anafahamika zaidi kutokana na nafasi yake ndani ya ccm , lakini kuna mwingine aliyeteuliwa kuwa mbunge sambamba na Polepole , anaitwa Riziki Lulinda .
Taarifa zinaonyesha kwamba mama huyu aliwahi kuwa mbunge wa Cuf kabla ya kuhamia ccm , sasa swali langu ni hili , huyu mama ni nani hasa mpaka ateuliwe yeye huku wafia chama waliopiga push up majukwaani sambamba na Mwenyekiti wao watelekezwe ? ana umuhimu gani huyu mtu kiasi cha kuchukua nafasi katika hizo chache zisizozidi 10 ?
Mwenye majibu atusaidie .
"Walikuwaga wanaenda kufuturu pamoja"View attachment 1637439
Wengi tunajadili sana uteuzi wa Polepole kuwa mbunge , ambaye anafahamika zaidi kutokana na nafasi yake ndani ya ccm , lakini kuna mwingine aliyeteuliwa kuwa mbunge sambamba na Polepole , anaitwa Riziki Lulinda .
Taarifa zinaonyesha kwamba mama huyu aliwahi kuwa mbunge wa Cuf kabla ya kuhamia ccm , sasa swali langu ni hili , huyu mama ni nani hasa mpaka ateuliwe yeye huku wafia chama waliopiga push up majukwaani sambamba na Mwenyekiti wao watelekezwe ? ana umuhimu gani huyu mtu kiasi cha kuchukua nafasi katika hizo chache zisizozidi 10 ?
Mwenye majibu atusaidie .
Kabila hili lipo wapi?Ni mmwela
Mkurya!View attachment 1637439
Wengi tunajadili sana uteuzi wa Polepole kuwa mbunge, ambaye anafahamika zaidi kutokana na nafasi yake ndani ya CCM , lakini kuna mwingine aliyeteuliwa kuwa mbunge sambamba na Polepole , anaitwa Riziki Lulinda .
Taarifa zinaonesha kwamba mama huyu aliwahi kuwa mbunge wa CUF kabla ya kuhamia CCM , sasa swali langu ni hili , huyu mama ni nani hasa mpaka ateuliwe yeye huku wafia chama waliopiga push up majukwaani sambamba na Mwenyekiti wao watelekezwe ?
Ana umuhimu gani huyu mtu kiasi cha kuchukua nafasi katika hizo chache zisizozidi 10 ?
Mwenye majibu atusaidie .
Huyo mama ni CCM miaka yote kule, CUF alienda baada ya kufanyiwa figisu kwenye kura za maoni kama ilivyokuwa kwa Cecil Mwambe!Huyu ni mchezaji wa kuazima kutoka CUF siunajua tena CCM kuna uhaba wa viongozi.
JPM ni nabii aliyetumwa na Mungu....nabii hakubaliki kwao ila kuna siku tutamkumbuka JPMHuyu mama alishawahi kuwa mbunge viti maalum cuf baadaye akahamia ccm na mwaka huu alipigwa chini kwenye kura za maoni CCM jimbo la mchinga alikuwa akichuana na mama salma kikwete.huyu mama kwenye jimbo la mchinga kafanya mengi sana na anakubalika sana bila mama salma kufanya figisu kwenye kura za maoni basi huyu mama angepita.ni mlemavu lakini ni mtu mwenye kujitolea sana nadhani Magufuli anataarifa za huyu mama
Wacha uchonganishi mkuu!View attachment 1637439
Wengi tunajadili sana uteuzi wa Polepole kuwa mbunge, ambaye anafahamika zaidi kutokana na nafasi yake ndani ya CCM , lakini kuna mwingine aliyeteuliwa kuwa mbunge sambamba na Polepole , anaitwa Riziki Lulinda .
Taarifa zinaonesha kwamba mama huyu aliwahi kuwa mbunge wa CUF kabla ya kuhamia CCM , sasa swali langu ni hili , huyu mama ni nani hasa mpaka ateuliwe yeye huku wafia chama waliopiga push up majukwaani sambamba na Mwenyekiti wao watelekezwe ?
Ana umuhimu gani huyu mtu kiasi cha kuchukua nafasi katika hizo chache zisizozidi 10 ?
Mwenye majibu atusaidie .
Imagine ng'ombe aliyekatwa mkia anapata uteuzi mnono wakati wewe kutwa upo Lumumba unapiga miayo umeachwa hapo uendelee kunywa wanzuki.Huyo mama ni CCM miaka yote kule Cuf alienda baada ya kufanyiwa figisu kwenye kura za maoni kama ilivyokuwa kwa Cecil Mwambe!
Wewe uliye mfia chama cha saccos ya Mbowe, una umuhimu kwenye hiyo saccos tuanzie hapo kwanza.View attachment 1637439
Wengi tunajadili sana uteuzi wa Polepole kuwa mbunge, ambaye anafahamika zaidi kutokana na nafasi yake ndani ya CCM , lakini kuna mwingine aliyeteuliwa kuwa mbunge sambamba na Polepole , anaitwa Riziki Lulinda .
Taarifa zinaonesha kwamba mama huyu aliwahi kuwa mbunge wa CUF kabla ya kuhamia CCM , sasa swali langu ni hili , huyu mama ni nani hasa mpaka ateuliwe yeye huku wafia chama waliopiga push up majukwaani sambamba na Mwenyekiti wao watelekezwe ?
Ana umuhimu gani huyu mtu kiasi cha kuchukua nafasi katika hizo chache zisizozidi 10 ?
Mwenye majibu atusaidie .
Jikite kwenye madaWewe uliye mfia chama cha saccos ya Mbowe, unaumuhimu kwenye hiyo saccos tuanzie hapo kwanza.