Riziki Said Lulinda aliyeteuliwa na Rais Magufuli kuwa Mbunge ni nani hasa?

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
116,476
215,319
FB_IMG_1606636743809.jpg

Wengi tunajadili sana uteuzi wa Polepole kuwa mbunge, ambaye anafahamika zaidi kutokana na nafasi yake ndani ya CCM, lakini kuna mwingine aliyeteuliwa kuwa mbunge sambamba na Polepole anaitwa Riziki Lulinda .

Taarifa zinaonesha kwamba Mama huyu aliwahi kuwa Mbunge wa CUF kabla ya kuhamia CCM, sasa swali langu ni hili, huyu Mama ni nani hasa mpaka ateuliwe yeye huku wafia chama waliopiga push up majukwaani sambamba na Mwenyekiti wao watelekezwe ?

Ana umuhimu gani huyu mtu kiasi cha kuchukua nafasi katika hizo chache zisizozidi 10?

Mwenye majibu atusaidie.
 
Huyu mama alishawahi kuwa mbunge viti maalum CUF baadaye akahamia CCM na mwaka huu alipigwa chini kwenye kura za maoni CCM jimbo la Mchinga alikuwa akichuana na mama Salma Kikwete. Huyu mama kwenye jimbo la Mchinga kafanya mengi sana na anakubalika sana bila mama Salma kufanya figisu kwenye kura za maoni basi huyu mama angepita, ni mlemavu lakini ni mtu mwenye kujitolea sana nadhani Magufuli ana taarifa za huyu mama

Mama Salma hana hamu na huyu mama😀😀😀😂😂 . Ila Magu hajamjua leo huyu mama, walishawahi ishi apartment moja wakati Magu akiwa mbunge kipindi hichoo so sio bahati mbaya alipofikia
 
Mwanasiasa kama walivyo wengine!
View attachment 1637439

Wengi tunajadili sana uteuzi wa Polepole kuwa mbunge , ambaye anafahamika zaidi kutokana na nafasi yake ndani ya ccm , lakini kuna mwingine aliyeteuliwa kuwa mbunge sambamba na Polepole , anaitwa Riziki Lulinda .

Taarifa zinaonyesha kwamba mama huyu aliwahi kuwa mbunge wa Cuf kabla ya kuhamia ccm , sasa swali langu ni hili , huyu mama ni nani hasa mpaka ateuliwe yeye huku wafia chama waliopiga push up majukwaani sambamba na Mwenyekiti wao watelekezwe ? ana umuhimu gani huyu mtu kiasi cha kuchukua nafasi katika hizo chache zisizozidi 10 ?

Mwenye majibu atusaidie .
 
"Walikuwaga wanaenda kufuturu pamoja"
 
View attachment 1637439

Wengi tunajadili sana uteuzi wa Polepole kuwa mbunge, ambaye anafahamika zaidi kutokana na nafasi yake ndani ya CCM , lakini kuna mwingine aliyeteuliwa kuwa mbunge sambamba na Polepole , anaitwa Riziki Lulinda .

Taarifa zinaonesha kwamba mama huyu aliwahi kuwa mbunge wa CUF kabla ya kuhamia CCM , sasa swali langu ni hili , huyu mama ni nani hasa mpaka ateuliwe yeye huku wafia chama waliopiga push up majukwaani sambamba na Mwenyekiti wao watelekezwe ?

Ana umuhimu gani huyu mtu kiasi cha kuchukua nafasi katika hizo chache zisizozidi 10 ?

Mwenye majibu atusaidie .
Mkurya!
 
Huyu mama alishawahi kuwa mbunge viti maalum cuf baadaye akahamia ccm na mwaka huu alipigwa chini kwenye kura za maoni CCM jimbo la mchinga alikuwa akichuana na mama salma kikwete.huyu mama kwenye jimbo la mchinga kafanya mengi sana na anakubalika sana bila mama salma kufanya figisu kwenye kura za maoni basi huyu mama angepita.ni mlemavu lakini ni mtu mwenye kujitolea sana nadhani Magufuli anataarifa za huyu mama
JPM ni nabii aliyetumwa na Mungu....nabii hakubaliki kwao ila kuna siku tutamkumbuka JPM
 
View attachment 1637439

Wengi tunajadili sana uteuzi wa Polepole kuwa mbunge, ambaye anafahamika zaidi kutokana na nafasi yake ndani ya CCM , lakini kuna mwingine aliyeteuliwa kuwa mbunge sambamba na Polepole , anaitwa Riziki Lulinda .

Taarifa zinaonesha kwamba mama huyu aliwahi kuwa mbunge wa CUF kabla ya kuhamia CCM , sasa swali langu ni hili , huyu mama ni nani hasa mpaka ateuliwe yeye huku wafia chama waliopiga push up majukwaani sambamba na Mwenyekiti wao watelekezwe ?

Ana umuhimu gani huyu mtu kiasi cha kuchukua nafasi katika hizo chache zisizozidi 10 ?

Mwenye majibu atusaidie .
Wacha uchonganishi mkuu!
 
Wewe uliye mfia chama cha saccos ya Mbowe, una umuhimu kwenye hiyo saccos tuanzie hapo kwanza.
 
17 Reactions
Reply
Back
Top Bottom