Riz one akichekelea kwenye msiba wa KANUMBA

mbona wote wanacheka hapo? Mbona mnamuonea Riz1Tu? Mi ninachokiona hapo ,ni uwepo wa mchekeshaji Steve nyerere! Naona huyo riz kama anamzuia ili asiendelee kuchekesha!
 
Riz kacheka kwa kimsamba msamba.

Steve full kujipendekeza

Ray, wala hayupo hapo kiakili anajaribu tu kuwasindikiza

Cheni hajui alitendalo.

yaan umenifanya niludi kuiangalia picha kwa mara ya pili, uwiiiii kongosho we noma!
 
IMG_0097.JPG


Afadhali mzee wetu wa kiraracha yeye alifikwa na majonzi ya hali ya juu...

DSCN4523.JPG
mkuu unahisi walikuwa msibanihapo wanachekele jinsi gani ya kukatoa kale katototo si mchezo bana ...oohh
 
aisee hako kadada kulia kwa mzee wa kiraracha sio kale kalikuwa sekretari wake akiwa naibu waziri mkuu naona wanakumbushiana mzee ulichemsha tungekuwa tunakula bata sasa hivi
 
Huyo mtoto wa kulia kwa kupenda sifa sijapata ona,mpka anatia kinyaa kwa kupenda maujiko
 
Back
Top Bottom