Riz 1 ndani ya uwanja wa taifa

issue hapa ni kuwa mtoto wa rais? Lakini vinginevyo asingeenea kwenye jf

nashauri dogo riz awe makini sana kwani kwa kifupi inanipa picha kuwa hakubaliki sana na walimwengu kwa misingi fulani hivyo awe mwangalifu na ikiwezekana asafiri kwa nyota yake mwenyewe

kama ulivyooenneea jf?
 
Back
Top Bottom