Umri unasonga! Jitazame hapa una umri gani na kama malengo yanatimia

N'yadikwa

JF-Expert Member
Aug 10, 2014
6,825
9,528
Kama ulizaliwa kuanzia 1970 hadi 1999 na mambo hayaeleweki jaribu kuformat disk anza upya. Re-evaluate yourself.

1970 = 52
1971 = 51
1972= 50
1973 = 49
1974= 48
1975 = 47
1976 = 46
1977 = 45
1978 = 44
1979 = 43
1980= 42
1981= 41
1982 = 40
1983= 39
1984= 38
1985= 37
1986= 36
1987= 35
1988= 34
1989= 33
1990= 32
1991= 31
1992= 30
1993= 29
1994= 28
1995 = 27
1996= 26
1997= 25
1998= 24
1999= 23
2000= 22.

Huo juu ni umri wa kutengeneza life lako kibongobongo ili kutafsiri utaishi vipi uzeeni wakati unasubiri KUFA.

Huu sio umri wa KULAUMU, KUNYOOSHEA VIDOLE wala KUSINGIZIA. Ni wakati wa KUTENDA. Je, unatenda?

Uko wapi chukua challenge, jitathmini.

Happy New Year 2022.
 
achana na umri,hujui utakufa lini ... fanya mambo yako kwa bidii inatosha
Zab 90:12 SUV

Basi, utujulishe kuzihesabu siku zetu, Tujipatie moyo wa hekima.

Mimi ni Mkristo dini inanifundisha kuzihesabu siku zangu. Na ndio sababu vijana wetu wadogo hupenda kuadhimisha Siku ya Kuzaliwa almaarufu Birthday party.
 
Back
Top Bottom