Riwaya za Kiswahili ambazo hazitakuja kuandikwa tena

Hakufukuzwa ila kitabu chake cha Rosa Mistika ndio kilipigwa marufuku pamoja na vya David Maillu yule Mkenya. Nae alikua na vitabu vingi akiandika kama peoms, he was also good.

Asante kwa kuliwekea hilo mkazo, Huo ndio ukweli ambao hata mimi naujua, Kitabu chake ndio kilipigwa marufuku
 
Hakufukuzwa ila kitabu chake cha Rosa Mistika ndio kilipigwa marufuku pamoja na vya David Maillu yule Mkenya. Nae alikua na vitabu vingi akiandika kama peoms, he was also good.

Dadangu hivi watunzi kama hao wameishia wapi?, Joram Kiango, Musiba, Mohamed Said, Agolo Anduru, Kazerahabi nk?
 
aee87853f496f5a9233f784b6f3b4a79.jpg

Ninebahatika kusoma vitabu vingi kweli vya zamani zikiwemo riwaya za kiswahili. Chakusikitisha sana ni kwamba vitabu vyingi sana vilipotea, au kuharibika wakati wa uhamaji (kutoka mji flan kwenda mji mwingine) wa mzee wangu. Lakini kila nikikaa riwaya nyingi zinanijia lkn sina majina yake, baadhi ya ninazozikumbuka ni

1. Sifi marambili
2. Simu ya kifo
3. Tutarudi na roho zetu?
4. Alfu lela ulela 1-3
5. Mnuko wa damu
6. Kamlete akibisha mlipue
7. Hawala ya fedha (hichi ninacho)
8. Msako wa hayawani
9. Punguwani
10. Mashetani
11. Adili na nduguze
12. Kusadikika

Nyingi nmezisahau wakuu. Ila naomba mwenye connections niko tayari kushare nanyi...
 
Nilikuwa na dadayangu marehemu alikuwa ananishawishi hadi nikawa mpenzi sana wa vitab zamani watunzi walikuwa wengi sijui kwa sasa wapo wapi.

1. Najisikia kuuwa tena.
2. Lazima ufe Joram
3. Mikono mwa Nunda
4. Kikomo
5. Kikosi cha kisasi
6. Njama
7. Pesa zako zinanuka
Daaahhh natamani kupata vitabu ninavyovitaka sijui napataje kuna baadhi nilivipta kwa @nemeless girl
 
Oh God! Huwezi kuamini vyote nimevisoma hivyo! Dah, huna hata kimojawapo?
 
Oh God! Huwezi kuamini vyote nimevisoma hivyo! Dah, huna hata kimojawapo?
Ninavyo
1. Najikia kuua tena
Mikono mwa nunda
Salamu toka kuzimu
Tutarudi na roho zetu
Roho ya paka
Mikataba ya shetani
Mtambo wa mauti
Njama
Kikomo
 
Back
Top Bottom