Riwaya za kipepelezi (kijasusi) na riwaya zingine zipi zinasomwa sana.

mimi nimpenzi sana wa detactive stories kuna muandishi mmoja anaitwa Colin Forbes jamaa ako na riwaya tamu sana huyu. Lakini nadhani riwaya zinazopendwa zaidi ni Love stories. Mtafute mtu mmoja anaitwa John Grisham ako na riwaya moja inaitwa The client unaweza kulia
 
Back
Top Bottom