Riwaya ya Njama ya Musiba ipo sokoni

Wapendwa wasomaji wa Riwaya za Taharuki, zilizoandikwa na Gwiji marehemu Mzee E.Musiba kitabu chake cha NJAMA kipo sokoni. Kitabu hiki kinapatikana kariakoo kwa Wauzaji vitabu bei 10,000. Wahi mapema kukipata nakala ni chache.
Wale wenzangu wa PM karibuni
Mkuu na ile roho mkononi na tutarudi na roho zetu japo zile za beny mtobwa zinapatikana?
 
Nilisoma vitabu njama ,kikosi Cha kisasi Nikiwa likizo siku kadha mfululizo kuanzia asubuhi hadi usiku break ilikuwa kula na kuoga full stop !Willy Gamba ni noma
 
Wapendwa wasomaji wa Riwaya za Taharuki, zilizoandikwa na Gwiji marehemu Mzee E.Musiba kitabu chake cha NJAMA kipo sokoni. Kitabu hiki kinapatikana kariakoo kwa Wauzaji vitabu bei 10,000. Wahi mapema kukipata nakala ni chache.
Wale wenzangu wa PM karibuni
Kaka niambie mkoani nitakipataje hicho kitabu nipo tanga nahitaji pia KIKOSI CHA KISASI.
 
Wapendwa wasomaji wa Riwaya za Taharuki, zilizoandikwa na Gwiji marehemu Mzee E.Musiba kitabu chake cha NJAMA kipo sokoni. Kitabu hiki kinapatikana kariakoo kwa Wauzaji vitabu bei 10,000. Wahi mapema kukipata nakala ni chache.
Wale wenzangu wa PM karibuni
Nitafutie na HEKAYA ZA ABUNUWAS ALLAN QUATERMAN HIVYO VITABU UKIWA NAVYO TUWASILIANE 0627 378778 PESA YAKO IPO MKONONI
 
Kariakoo kwa wauzaji wa maeneo gani tuelekeze specifically ili tukanunue. Nimekua nikisimuliwa juu ya story za vitabu vya Musiba na mzee wangu toka mdogo.

Nielekeze tafadhali Zegamba
 
Back
Top Bottom