Asante Mkuu 🙏🙏
Tupo wengi kwakua hadithi ndiyo inaanza usichoke tupoNjoo Dm nikutumie Pdf zote usome. Hapa hakuna wasomaji najichosha tu.ni watu watatu tu mnaofatilia hapa. Hakuna maongezi mengine, inatakiwa tu kuwa na njia ya kutumiwa hizo Pdg email au whatsap basi.
Mkuu binafsi ntakufata dm ila kwa hapa ni muhimu pia Mkuu hapo umalizie hiyo riwaya hapo juuUpo sio tupo. Haijaanza hii ni ya 2
DUh hatari sana Mkuu 🤓🙌