Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,165
Kuacha siwezi acha nisome tu hivyohivyo kwa uwoga
Kuacha siwezi acha nisome tu hivyohivyo kwa uwoga
Humjui tivu ww mkuu hanaga hizoNikiona mwisho nitasoma, isije kuwa mbinu ya kutuonjesha ili tununue.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ningekuwa nataka hivyo huwa nasema tangu mwanzo. Sina haja ya kuficha.Nikiona mwisho nitasoma, isije kuwa mbinu ya kutuonjesha ili tununue.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kha! Wafa na tai yako shingoni!Kuacha siwezi acha nisome tu hivyohivyo kwa uwoga
Hahahahaha
Imeishia palepale ilipoishia ndugu. Nilihangaika kuufuta uzi ule lakn nmeshindwa. Sina muda wa kuiendeleza.Oya bro SteveMollel ile story ya njia nyembamba vip hebu toa hata maelezo kidogo tujue maana tuko kizani
Sent using Jamii Forums mobile app
Shemej yako kaenda masomon sku hiz nalala peke yangu naogopa yan balaaa
Basi soma mchana ama asubuh mamaShemej yako kaenda masomon sku hiz nalala peke yangu naogopa yan balaaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Sante maa,acha nivute kiti nianze kusomaTivu kwenye ubora wako [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91] na inavyotisha nitalala kweli mm carbamazepine ukuje
Asante tivu barikiwa sanaHabari zenu, nimekuja tena ndugu yenu kwenye riwaya hii fupi ya UNA NINI MELISSA? Nashukuru kwa wale wote waniungao mkono, wajuazo raha zilizo ndani ya story tamu. Haya sasa tufunge mkanda tuanze.
Kwa wale wajawa na hofu za mapema, mkae mbali ati. Msije sema hamkuonywa. Natamani niwatag wote lakini siwezi, kwa wale niwakumbukao basi mtaita na wengine Madame S Shunie Tumosa koncho77 Ilankunda1234