hope uchu umewaisha sasa. nawashukuru kwa uvumilivu wenu tangu mwanzo mpaka hapa tulipofikia. waliokwazika poleni sana tusameheane tusonge mbele naimani mambo mazuri mengi yanakuja.
Nia yangu ilikuwa nipitie taratiiiiiiiibu kwa mwendo wa kunyata ila nikaona siwezi kuwa muungwana nisipo kipatia shukrani za dhati kwa kutufikishia hii kazi jamvini SHUKRANI SANA MKUU
Nashukuru jamii forum naisoma hadithi hii.Sikujuwa kama Musiba aliandika kitabu kingine baada ya kufa na kupona,Kikosi cha kisasi,njama,kikomo na Hofu.
Mwandishi kama unacho Hujuma,tutiririshie.