Riwaya: UCHU

Riwaya: UCHU

Bibiane na Jean bado wanafanya matusi wakuu,tuwasubiri wamalize ndo waje
 
Hapa ni kujifanya umeipotezea tu siku akiirusha hapa unajirusha nayo
 
Bibiane na Jean bado wanafanya matusi wakuu,tuwasubiri wamalize ndo waje

akili na matendo bado vinarandana.

mi nadhani bibiane alimnyonga jean kwa hadaa ya mapenzi, maana hawezi mmega akiwa amefungwa kamba
 
Hivi Willy alipona au Col. Gatabazi kammaliza? Mbona kimya kimezidi?
 
Leo ni miezi miwili kamili toka kuanza kwa RIWAYA hii ya UCHU. Na hamna dalili za kwamba mwisho u karibu.
 
Tunapata mateso ya kujitakia, hatuna budi kusubiri. Natumaini hawa wakuu Willy Gamba 1, kidi kudi, mareche, m2n na wenzao hawatatutesa zaidi kwa kumalizia hii kitu weekend hii.
 
hawana mpango
 
Wamefanya hadi usingizi wangu uwe wa mang'amung'amu yaani kila baada ya nusu sàa nashtuka naingia jf holaa na lala nashtuka tena naingia holaa dah watu hawa ni wakatili mnooo
 
hawa jamaa ni zaidi ya Mungiki. hii story siku ikifika mwisho lazima niianze upya
 
Back
Top Bottom