Riwaya: UCHU

Riwaya: UCHU

Mimi mate yamenikauka itabidi nitafute ndimu au ukwaju coz mareche alisema khabari ndo inaanza kukolea
 
Willy Gamba ingilia kati Tafadhali. naona mareche katuingiza kijijini
 
Huu uzi kipindi flan ulikuwa maarufu sana sijui umaarufu wake umepotelea wapi?
 
Huu uzi kipindi flan ulikuwa maarufu sana sijui umaarufu wake umepotelea wapi?

Umepotelea humu humu mkuu sababu ni kupeana kidogo kidogo kama dozi ya chlorophenical...kitu kidogo dozi inachukua muda mreeefu.
 
Huyu kidkud sijui kapatwa na masahibu gani! popote ulipo kama una mkwamo basi mungu akutilie wepesi na mareche pia coz sisi ni binadamu huwezi kujua lililo msibu mwenzio.
 
mods futa uzi au piga ban watesaji wote hasa kidkudi
 
kidi kudi na mareche watakuwa wametekwa na Nkubana na Col. Gatabazi
 
Wabongo asee mnajua kuvumilia,nlpigwa ban kisa huu uzi nimerudi na bado tu haujaishaga
 
Wabongo asee mnajua kuvumilia,nlpigwa ban kisa huu uzi nimerudi na bado tu haujaishaga

mkuu ulifanya nn? sie bado tupo ila nakubaliana yawezekana hawa kidi kudi, mareche na ndugu yao willy gamba 1 wamemalizwa na Nkubana chini ya majeshi ya Akazu
 
Huyu kidkud sijui kapatwa na masahibu gani! popote ulipo kama una mkwamo basi mungu akutilie wepesi na mareche pia coz sisi ni binadamu huwezi kujua lililo msibu mwenzio.

Nilipata taarifa kipindi f'ln huyu jamaa kidi kudi hatunae tena duniani nikapuuza...kwa ukimya huu naanza kuamini sasa. Mungu apishe mbali fikra hizi 😀:what:😉
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom