Riwaya: Siri

Mkuu tunafuatilia kwa makini sana riwaya hii, japo me bado nipo nyuma kidogo
Hii naona watu wanapita kimya kimya bila kuacha chochote kama hamjaipenda ngoja niitupe kapuni
 
MKUU ukifanya ivo utaniumiza manake hii kitu naifatilia Kwa umakini wa Hali ya juu
 
Mkuu Kulubule nakuona hapo online fanya mchakato tuianze weekend na episode za Kutosha
 
Hii riwaya ni kali nilikuwa naitafuta mda
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…