the_legend
JF-Expert Member
- Jan 14, 2019
- 1,612
- 7,112
- Thread starter
- #301
Hahahaaa
the Legend☆
Hahahaaa
Mda mwingi mi huwa ni mtu wa kufurahi. Nizoee tuu
Kazi na dawa ... ... ...the_legend unashusha kigongo kingine au leo ndo tumeishia hapo?
Alishapita dear wangu
Tunashukuru sana The LegendMda mwingi mi huwa ni mtu wa kufurahi. Nizoee tuu
the Legend☆
You are welcome. Poleni kwa baadhi ya episodes zilizomiss.
Nzuri tu shem. Heshima yako
Watu na shemeji zaoNzuri tu shem. Heshima yako
the Legend☆




Daaah yaani utamu unakuja alafu unakata then unakuja unakata Tena !!!!Mkuu kisukari kwenye post #285 nilitolea ufafanuzi hilo.
"Heshima yenu wakuu. Ni hivi; kati ya episodes 70 za hii riwaya, episodes 5 sijafanikiwa kabisa kuzipata. Nazo ni episode ya 35, 38, 40, 43 na ya 45. Ila nyingine zote zipo.
So kitu nlichofkiria kufanya leo ni kuweka as many episodes as possible, ili iwe rahisi kwenu kuunganisha matukio na hatimae kupata mwanga wa yale yaliyojiri katika hizo episodes zilizo-miss.
Samahanini kwa usumbufu wowote utakaojitokeza"- the_legend
the Legend☆
Mama nakufaaaaaaa.hatari fire
the Legend☆

Ebu niambie unaenda wapi