Leo swaum, maybe tutafuturu jioni. kwanza hongera sana,maana huwa nafuatilia hadithi zako kwani ndo huwa zinafika mwisho tofauti na za kina-nameless girl. Barikiwa sana mzaramo
Ahsante kwa lugha maridhawa ya kiarabu uliyoitumia katika sentensi yako ndugu yangu.Inaelekea wewe ni khuntha kwa jinsi ulivyotoa povu kwa hiyo kauli yako tu.
Hivi unalijua jina la kweli la Mwandishi? Je unajua kama mwandishi ana maelewano na makubaliano na mtunzi? Au unajuaje kama huyu ndio GEORGE mwenyewe? Acha upuuzi wako wa fb huku ni anga nyingine kama unatafuta mume sema.
Ahsante kwa lugha maridhawa ya kiarabu uliyoitumia katika sentensi yako ndugu yangu.Inaelekea wewe ni khuntha kwa jinsi ulivyotoa povu kwa hiyo kauli yako tu.