the_legend
JF-Expert Member
- Jan 14, 2019
- 1,612
- 7,112
- Thread starter
-
- #601
Stay tuned marybaby Soon itakua kwa hewa. Mambo tu yanakua mengi, muda mchacheMie nashangaa kwakweli mpk ss sijui anko ana mpango gani.
Eti mjomba ,? the_legend
Sent using Jamii Forums mobile app
Shukran sn,
NdiwoooooShukran sn,
Ila nna msiba BQ (japo sina hakika km kweli kafa)
Wakati tunangoja memory card naanda gunia la ya popcorn kutoka kwa kina Tumosa si ndio mama
Sent using Jamii Forums mobile app
memory card bado nipo kwenye mchakato wa kuitafuta. Bado sijapata episodes kama 10 za mwisho. Ntaanza kuipost baada ya kupata uhakika wa hizo episodes, ili isije ikaishia njiani. Ila nimeona wakati tunasubiri memory card, tuianze nyingine inaitwa 'Kijijini kwa bibi', mtunzi ni yule yule Alex Kileo. Hii haihusiani sana na nyingine, ila tu humu ndio tutakutana na kisa cha sajent Minja kua chongo mpaka leo. Itaanza usiku huuShukran sn,
Ila nna msiba BQ (japo sina hakika km kweli kafa)
Wakati tunangoja memory card naanda gunia la ya popcorn kutoka kwa kina Tumosa si ndio mama
Sent using Jamii Forums mobile app
Karibu mkuumemory card bado nipo kwenye mchakato wa kuitafuta. Bado sijapata episodes kama 10 za mwisho. Ntaanza kuipost baada ya kupata uhakika wa hizo episodes, ili isije ikaishia njiani. Ila nimeona wakati tunasubiri memory card, tuianze nyingine inaitwa 'Kijijini kwa bibi', mtunzi ni yule yule Alex Kileo. Hii haihusiani sana na nyingine, ila tu humu ndio tutakutana na kisa cha sajent Minja kua chongo mpaka leo. Itaanza usiku huu
the Legend☆
Itakua kijijini kwa bibi kigomaamemory card bado nipo kwenye mchakato wa kuitafuta. Bado sijapata episodes kama 10 za mwisho. Ntaanza kuipost baada ya kupata uhakika wa hizo episodes, ili isije ikaishia njiani. Ila nimeona wakati tunasubiri memory card, tuianze nyingine inaitwa 'Kijijini kwa bibi', mtunzi ni yule yule Alex Kileo. Hii haihusiani sana na nyingine, ila tu humu ndio tutakutana na kisa cha sajent Minja kua chongo mpaka leo. Itaanza usiku huu
the Legend☆
Kweli mkuu bado mapema sana. Ila kesho Jumatano ndio tutajua kama BQ ni mwisho wake kweli au vipiAsante the legend, R.i.p kwa BQ siwezi sema now maana ni mapema
Hahahaa, hii kwa bibi ni Bukoba
BQ hajafa ila Dr kagoma kushiriki huo mpango maana hawezi tibu ili aje kuuwawa yaani kaona Bora awazunguke tu!!!Kweli mkuu bado mapema sana. Ila kesho Jumatano ndio tutajua kama BQ ni mwisho wake kweli au vipi
the Legend☆
bukoba na iringa sio?Hahahaa, hii kwa bibi ni Bukoba
the Legend☆
knawezekana...BQ hajafa ila Dr kagoma kushiriki huo mpango maana hawezi tibu ili aje kuuwawa yaani kaona Bora awazunguke tu!!!
Huko mbele kutakuwa na combination hatari ya Tom+Minja na BQ dhidi ya Rais na genge laki.
Umekosea
Hatari."basi, hakuna hasara, jiandae nikurudishe gerezani" Ray Charles aliongea huku akitoka katika kile chumba"
Duu jamaa katili sana...
Cc: mahondaw