Ipo softcopy tu hiimkuu kama kuna hardcopy ya hii kazi nzuri ya kijasusi naomba nipate maelezo namna ya kukipata
Tayari mkuuMkuu toa vitu
Asante sana six manTayari mkuu
Pamoja mkuuAsante sana six man
Safi kakapamoja mkuu naisubiri kwa hamu sisi walinzi wa usiku inatusaidia kuitafuta alfajiri
Swali zuri.naliunga mkono.ili tujijue kabisaWababe wa Hizi anga za riwaya na hadithi, tupo tunakufuatilia ila kabla ya yote tuahidi story itafika mwisho??? Ili tujiandae kisaikolojia kukumbana na arosto