Riwaya: Kikosi cha Kisasi

Hizi story pamoja na kuburudisha na kufikirisha....zilikuwa zinatujenga sana vijana wa wakati huo kuwa na mioyo ya kizalendo kwa taifa na Africa kwa ujumla
 
shukrani ziwafikie wote waliotumia muda wao na gharama zao kutupa burudani murua ya KK.mbarikiwe wandugu.
 
Leo nadondosha za kutosha jana charge ilizingua
Mkuu tunashukuru sana kwa mwendelezo wako,,tulikuwa tunaomba kama hutojali tunaweza kupata season 5 ya QUEEN MONICA maana aliyeainza story hakuimalizia hiyo season five mpaka leo hii haijaisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…