nameless girl
JF-Expert Member
- Apr 22, 2012
- 4,195
- 2,689
- Thread starter
-
- #21
Vipo kwenye maduka ya mjini, posta. Vinapatikana.Vipi vitabu vya watunzi wengine naweza vipata pia
Kwa mfano kitabu cha marehemu Shaban Robert Kusadikika
Na kitabu cha Kezirahabi Rosa Mistka
Kila post anayoiweka anaandika jinsi ya kukipata kitabu sijui wewe mwenzetu una matatizo ya macho!Hiki kitabu nitapata wapi mkuu? mi kusubiri hivi siwezi.
[emoji16][emoji16][emoji16]Hasomi anakuja na maswali tuKila post anayoiweka anaandika jinsi ya kukipata kitabu sijui wewe mwenzetu una matatizo ya macho!
Usijali mkuu na wewe tafuta couple yako hapa JF uwe unaiCC[emoji1] [emoji1]Samahani mkuu hivi kwanini huwa unamCC huyo mahondaw?
[emoji3][emoji3][emoji3] wewe ndio msemaji wake? Yaani kila nkiona reply ya huyu jamaa lazima akakuwa amemcc huyu mtuUsijali mkuu na wewe tafuta couple yako hapa JF uwe unaiCC[emoji1] [emoji1]