Riwaya - Gereza la Kifo

bishop asante kwa kifungua kinywa hchi mambo yanazidi kupamba moto ila hao wajumbe wa chama wamenisikitisha wanapigwa upofu kisa pesa wanauweka uozoo huyo masunju agombee ubunge kweli akili ni nywele kila mtu ana zake
 
Huyu walari mbona mbishiii
 
Warali kachafua hali ya hewa
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Baada ya almost masaa 12 ya kusoma masimulizi haya nimefikia pale mlipo duuuuuuh!!!!.
Shukrani chief bishop kwa mafunzo haya yenye rahaaa
 
Makomeo John aisee hivi kwa English ni padlock au nimesahau?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…