Rivers United vs Young Africans(1-0) | CAFCL

Kwa Simba ule utaratibu wa kukalia hamsa utakuwa umerudi rasmi. Simba hii haiiwezi hata Lipuli.
 
Hiyo ndege tuna mkataba nayo tunaomba irudi upesi
Screenshot_20210919-214457_WhatsApp.jpg
 
sasa unafanisha friend match na knockout kweli we msukule
Naomba matokeo ya uwanja wa Taifa, unataka kuniambia hiyo champions league mnacheza na timu kutoka Tanzania au mnacheza mbinguni, game ni zilezile na approach ni ile ile
 
SIMBA 0 vs tp mazembe 1. Nasikia kuna kahaba baada ya kulawitiwa kwa mkapa alinogewa akaamua akalifuate dushelele niger
Nasikia umepakiwa vumbi la congo na hiyo imepelekea mazembe kuchelewa kupata bao la kwanza, dakika kama ya 80 ndo ana kupiga cha kwanza, ila cha pili sasa kama kawaida ya vumbi letu huwa akipatikani kirahisi
 
Tuacheni Yanga.
Kwasasa tuna unganisha timu yetu katika mchanganyiko.

Timu inatafuta Chemistry tu.
 
Back
Top Bottom