Beautifullgirl
Senior Member
- Feb 28, 2013
- 100
- 15
Cheti kupata ni mpaka ufanye masomo 7 (Basic subjects) so kama umefanya pungufu na hapo basi cheti hupati sababu wanajua una cheti tayar cha mtihan wako wa kwanza.
Asante sana,je hii credit moja niliyoipata itanisaidia vipi?au ndio basi tena?

cheti utapata dogo huyo anakudanganya kabisa kwani umefanya mtihani mwaka gani?? Coz cheti kinatoka baada ya mwaka mmoja kama hujakipata kifuatilie baraza huenda vilitumwa posta alaf wewe hukwenda kukichukua so posta wakakirudisha necta .kifuatilie kwan result slip huwa inaexpire upo hapo?
hapana wewe ni muongo cheti unapata hata kama umefanya somo moja na ukafaulu. Cheti cha awal hakina uhusiano wowote na cheti kipya sawa ndugu?
cheti utapata dogo huyo anakudanganya kabisa kwani umefanya mtihani mwaka gani?? Coz cheti kinatoka baada ya mwaka mmoja kama hujakipata kifuatilie baraza huenda vilitumwa posta alaf wewe hukwenda kukichukua so posta wakakirudisha necta .kifuatilie kwan result slip huwa inaexpire upo hapo?
Acha bangi zako bwana mdogo, Mi naongea kitu ambacho nimedeclare interest kutoka kwa watu wa karibu sana(Mdogo wangu naye alirisiti mwaka juz 2010 masomo 5)
Hayo niliyoyasema ndio ukweli halisi na waliofanya hivyo ni baraza sasa sijui wewe unaongea kwa kujifurahisha 2.
Asante sana nilifanya mtihani mwaka 2008 mpaka sasa vimetoka na niliandika box la kituo nilichorisiti mtihani ndio cheti kinifikie hapo lakin chakushangaza wameangalia na kunijibu cheti hakuna so sijajua wamepoteza wao au kwasababu nimepata pass moja ndio cheti sitapata
kwan masomo mengne ulipataje? Kwan kwenye result slip wameandikaje PASS OR FAIL??
wewe ndo bangi unasikia bwana! Mimi ni mwalimu na shuleni kwetu kuna kituo cha private candidate sawa kijana?? Na mimi nipo ofisi ya taaluma na ninashuhulika na hayo mambo kama mdogo wako alifeli hawezi kupata cheti sawa?? Na kama alifaulu fuatilia cheti hcho coz risult slip inaexpire kwanza kama alifanya 2010 bac result slip imekwisha expire so kwa ushaur wangu mwambie dogo afuatilie hicho cheti necta au kituo alichofanyia mtihani.
Ushauri wangu kwako. Acha ubishi dogo kama hujui uliza kwa ushaur zaid nitafute hapa 0765164434.
Mkuu basi huenda kweli upo sahihi Lakini Dogo Alipata B 1, C 3, na F 1 lakin mpaka leo cheti hakupewa na hayo niliyoyasema hapo juu ni maelezo aliyopatiwa.
. Na kwa matokeo hayo hapo cheti anapata kabisa ndugu yangu nakushaur umwambie bwana mdogo afuatilie hicho cheti baraza na aende na kitambulisho kinachomtambulisha bila kusahau result slip ili wamuamini zaidi.NASHUKURU KWA KUNIELEWA.