Beautifullgirl
Senior Member
- Feb 28, 2013
- 100
- 15
hi,naomba kufahamu kwaanae fahamu hili swala,nilifanya mtihani wa form four kam private candidate nikafanya masomo matatu nikafaul somo moja nililokua nikilihitaji ilikua mwaka 2008 je naweza kupata cheti?result slip nimepata lakini cheti hakionekni je nitapata au ntapata resultslip tu?