Risk Assessment and Management: CHADEMA nayo Imuondoe Dr. W. Slaa!

Risk Assessment and Management: CHADEMA nayo Imuondoe Dr. W. Slaa!

SIJASEMA SEHEMU CDM INA GAMBA!! CDM haina tatizo lolote ila lisiasa kuna wakati huwa haueleweki unavyotaka ueleweke! nimetoa mifani ya salim na zuma, still you guys purposely mna -digress hoja!!

nwaonea huruma sijaona hoja , waislamu hawawatki BADALA YA KUWAAMBIA VIONGOZI WENU WAPIGANE NA HIYO HALI, MNABAKI KUTUMATUMA VIPOST VYA KISHABIKI..UJINGA HUO

HOJA ni kuwa CDM ifanye nini kujikwamua na hali hii kama mnaona is ok tuendelee!

chadema kinafanya yale kinayopaswa kufanya,yale yaliyo mwongozo wake na si kwa kuwa waislamu hawapendi
 
ND. Wana JF,

Mimi naona hatujamuelewa mkuu Waberoya, anachotaka kusema hapa ni kwamba haikuwa kosa kumchagua Dr. Slaa kuwa mgombea, isipokuwa kwa bahati mbaya historia yake ya kuwa aliwahi kuwa padre kwa namna moja au nyingine kuna baadhi ya watu wameitumia vibaya either kwa makusudi ilikupotosha au kwa bahati mbaya kwa kutokujua ukweli wa mambo.

Waberoya anasema kuna baadhi ya watu na wenzetu waislam wameaminishwa kuwa huyu ni kibaraka wa wakristu na kanisa kwa ujumla,hivyo anajaribu kutuonyesha kwamba kama tunataka kuishinda propaganda hii ambayo ni dhairi inazidi kuinyongonyeza CHADEMA na inaweza kuwa kama ya cuf ambapo leo hii watu wengi wanaichukulia ni ya kislam kutokana na propaganda za CCM.

Mfano hai ni juzi chadema walipotangaza maandamano nchi nzima mmesikia kauli ya waislam na maazimio yao, wenyewe wanaamini eti maandamano hayo yana agenda ya kuingoa serikali ya JK kwa sababu ni muislam, kitu ambacho si kweli. Kiujumla waberoya ana hoja ya msingi labda jinsi alivyoiwakilisha ndio imeeleweka vibaya, I stand to be corrected

Sikutaka kurudi kwenye hii thread, however, your post made me to embrace as if nakuona

Nimefarijika kaka kwa kunielewa ASANTE and your post ninahifadhi moyoni na akilini kama ni memorable post ever!!

Asante sana natuma shukrani zangu na kwenye PM yako. At least umenipa nguvu ya kunywa chai
 
SIJASEMA SEHEMU CDM INA GAMBA!! CDM haina tatizo lolote ila lisiasa kuna wakati huwa haueleweki unavyotaka ueleweke! nimetoa mifani ya salim na zuma, still you guys purposely mna -digress hoja!!

nwaonea huruma sijaona hoja , waislamu hawawatki BADALA YA KUWAAMBIA VIONGOZI WENU WAPIGANE NA HIYO HALI, MNABAKI KUTUMATUMA VIPOST VYA KISHABIKI..UJINGA HUO

HOJA ni kuwa CDM ifanye nini kujikwamua na hali hii kama mnaona is ok tuendelee!

hata mimi nina wasiwasi na wewe,kweli mpaka leo huelewi nini kifanyike? si ni ujinga huu..

chadema ilipodai katiba mpya ikisisitiza kuhusu uchaguzi uwe huru na wa haki uliona wanafanya maigizo? au unaona wewe ndio unajua zaidi...ujinga huu, kura kuibiwa/kuchakachuliwa is out of cdm control kama sio kuitaji nguvu ya umma iamue!!

maandamano waliofanya chadema yanatosha kuifanya ijikwamue,kwa kuwaeleza wananchi wa tanzania nini serikali yake haikifanyi.
 
Siamini kuwa hakuna elements za udini CDM.Ila siamini kama dr.Slaa ana elements zozote za ubaguzi wa kidini, hata hivyo kuna thred mfano ipo page ya kwanza inasema NEC bado ina waislamu wengi, na wana JF ambao majority ni CDM wanaipigia debe kidizaini kana kwamba it's something funny.

Instead they should show their zero tolerancy when it comes to religious comments i.e not support those kind of threads(honestly the mods are doing a great job so far),

Kuna mbunge wenu Regia alikuwapo earlier kwenye thread ya press conference na alichokuwa anazungumzia sana sana ni udini na ukabila na koo saba....alisema NEC haiko balanced kidini na kijinsia,I mean c'mon of course you gonna make muslims mad! and those childish comments coming from a female MP? She was honored to represent female CDM members and she let a couple of sistaz down.

I watched the debate between Hamad and Freeman,and hamad mentioned about CDM's curiosity about CUF being Islamic and mbowe didn't even argue! Those kind of things makes people curious about the real CDM's interest with this udini thang.

****THINK,DEEPLY***
 
Ni mpenda watu, mkweli, ana uchungu na Taifa na katika watu watakaokumbukwa katika kizazi cha sasa Dr. Slaa hatasahaulika. Kikwete anaweza kusahauliwa tena haraka na jina la Slaa likachukua muda. Kwani yuko mioyoni mwa watu wengi.

Lakini katika hulka za binadamu au tabia tulizonazo kuna wakati mtu muhimu huwa tunampinga, tunampiga na hatuoni thamani yake mpaka pale anapokufa! Kuna wakati watu walio na upendo na mawazo mazuri , mawazo na nia zao nzuri zikachukuliwa au kupokelewa tofauti na baadhi ya makundi ya wat.

Chadema walipaswa kujua kuwa kuna position na situation za kisiasa ..ambazo mara nyingi hazina logic zinaweza kuinua chama au kukiua, Ni vile tukaona Salim A. Salim hatakiwi kuwa rais wa Tanzania na Kikwete akawekwa! Tumeona mpenda vidosho Jacob Zuma akipendwa ....bila sababu

Chadema ilifanya kosa kumteua Slaa kuwa mgombea urais, makosa haya kisiasa ni ya kawaida, kwani haujui adui yako anasema nini, japo swala la kupakwa uchafu wa udini kutokana na background ya Slaa lilikuwa wazi na hapa risk management ilitakiwa

Leo hii wote tunajua position na mchango wa Slaa katika taifa bila kujali dini wala kabila..

Lakini kwa bahati mbaya kwa sababu zilezile nilizozisema 'no logic' existence ya Slaa ndani ya chadema inaonekana kukiua chadema zaidi kuliko kukipaisha na hali hii inaendelea na ikitokea makundi ya wale wanaoipinga chadema yakafikia kuwa na umoja, basi mwisho wa chadema ndio utakuwa umefika..historia inaonyesha huwa hivyo

Chadema; wakati CCM inajivua gamba , na nyie ni wakati wa Slaa kuondoka na kukisafisha chama chenye tuhuma za udini na wanaowachukia hawafichi kabisa.Situation is worse and if you will not do something , I am afraid!

Huu ni ushauri tu, kuna technic nyingi zinaweza kufanyika,.....ila zenu hatujaziona bado

Just Imagine maandamo mliyoyatangaza tayari yamegubikwa na udini! tunaposema hivi ni kwa upendo tu.

Najua wengi wanaweza wakatukana kama kawaida yao, wengine tumejifunza kupambana kuwaondoa watu tongotongo na kusimamia ukweli--mapambano ya fikra hayako kuipinga CCM bali na blind followers, ukweli mara nyingi ambao kama ungefanyiwa kazi tusingekuwa hapa tulipo

Mkitaka kusubiri subirini tu, will recall this post one day

I wish you good Luck!

Wabe.
Sasa kama Umesema Slaa anakubalika na ni vigumu watu kumsahau why tena unasema hafai aondoke, hv wapi dk Slaa ameonyesha udini? Au Slaa ku mkristo ni dhambi?

Nadhani kwako Wabe muislam fisadi kama Jk na R.a ni bora sana kwa nchi yetu kuliko mkristo muadilifu.

Mbona mimi ni mwislam na na ni mwanachadema tena kwa kuwa na kadi kabisa.

Wabe unasumbuliwa na udini that's why mnatumiwa kwa maslahi ya CCM. Yani kwa hoja ulizotoa ndio sasa naamini wapo wasomi wengi tu kama ww ambao elimu yao bado haijawasaidia.

Hivi unadhani madhara ya ufisadi na uzembe vinachagua dini?dah umenisikisha sana na kamwe sitakuwa pamoja na ww japo sote ni waislam mana wenzetu mnachoambiwa na maimamu tu kuwa chadema ni chama cha kidini mnameza tu bila kuhoji wala kufanya uchunguz ili kujua ukweli, tatizo hili linawasumbua waislamu wengi bt wapo tulioshtuka na hatudanganywi na propaganda.
Mungu akusaidie
 
Kwa mkuwa hicho ndiyo kiwango chako cha kufikiria na kulinganisha masuala, ni dhahiri kwamba upeo wako unazidi kushuka siku hadi siku.

Kwa muktadha huo huo si ajabu ukamshauri baba yako amuache mama yako kwa kuwa jirani yake kaamua kuachana na mkewe!!

Yaani bora kumsikiliza tambwe hiza kuliko kusoma ushauri wako!!
afadhali umeona mbali sana unajua kuna vitu mtu ukivitamka hata kama una degree bt unadhihirisha umbumbumbu wako! Sasa kwa mtu kama wabe hapa tunaona wazi kuwa elimu aliyonayo bado haija msaidia.
 
Huyo ndiye Waberoya mkaazi wa Mbagala jijini Dar es Salaam - kwake Chadema haina uongozi na ina wapenzi vipofu na wajinga. Kwa Waberoya, Chadema imeshazikwa kwa sababu Waislamu wameikataa na bila wao kamwe Chadema haiwezi kukamata dola milele. Huyo ndiye Waberoya ambaye amewahi kudai kuwa gumzo kubwa mitaani Mbagala inahusu kutokubalika kwa Chadema kwa wakaazi wake wengi. Ningeshtuka sana kama Waberoya angesema vinginevyo ! It is called an obscession !

You nailed it - The Young Man Weberoya - Very very busy Spinning!
 
SIJASEMA SEHEMU CDM INA GAMBA!! CDM haina tatizo lolote ila lisiasa kuna wakati huwa haueleweki unavyotaka ueleweke! nimetoa mifani ya salim na zuma, still you guys purposely mna -digress hoja!!

nwaonea huruma sijaona hoja , waislamu hawawatki BADALA YA KUWAAMBIA VIONGOZI WENU WAPIGANE NA HIYO HALI, MNABAKI KUTUMATUMA VIPOST VYA KISHABIKI..UJINGA HUO

HOJA ni kuwa CDM ifanye nini kujikwamua na hali hii kama mnaona is ok tuendelee!

cdm ifanye nini kujikwamua? Naona iache kusikiliza ushauri 'mbuzi' kutoka wenye vichwa kama vya panzi. Cdm ndo imeishepu ccm hata makamba anaelewa ilo. Ebu pitia hotuba ya m/kiti msafiri alhaj wakati anafunga mkutano wa csm jana kasemaje,nanukuu ,"jamani tumejivua makamba/gamba,sasa tusikie wenzetu watasemaje!inawezekana wataendelea kutusema,tangu leo sitaki sms za rais,wametutukana,na nyie wajibu!" hapa wametekeleza uamuzi wa nani kama si cdm? Juz walienda kagera wakaagiza sukari ishuke pia rais atimize ahadi hewa,haraka Pinda katumwa pemba akaambiwa akaagize sukari ishuke,na rais kaanza kuzunguka wizarani! Dr.Slaa umeagiza ndani ya siku 9 jk afanye mabadiliki,ombi langu kwa Dr.Slaa,usitoe agizo jipya kwa ccm,tumeshajua kuwa wanakusikiliza na juzi makamba kawekwa uhani awe makumbusho,ukiagiza wavue gamba jingine si watajichumbua ngozi au labda useme wang'oe na kucha baada ya kuvua gamba? Anyway waache kwanza maana wamechanganyikiwa! Dr.tunakushukuru kwa kuonesha njia ukiwa ktbu mkuu,usiwasikilize wenye vichwa vya 'panzi' hawafai ata kujitwishwa bakuli iweje wadai cdm kuna gamba? Waache wawe kama wanampigia sanamu saluti!
 
You nailed it - The Young Man Weberoya - Very very busy Spinning!

Wewe mimi mzee shika adabu yako! 49 years siyo young man, kuna vingine yes ni youngman lakini ki-umri nimekuacha mbali sana
 
Siamini kuwa hakuna elements za udini CDM.Ila siamini kama dr.Slaa ana elements zozote za ubaguzi wa kidini, hata hivyo kuna thred mfano ipo page ya kwanza inasema NEC bado ina waislamu wengi, na wana JF ambao majority ni CDM wanaipigia debe kidizaini kana kwamba it's something funny.

Instead they should show their zero tolerancy when it comes to religious comments i.e not support those kind of threads(honestly the mods are doing a great job so far),

Kuna mbunge wenu Regia alikuwapo earlier kwenye thread ya press conference na alichokuwa anazungumzia sana sana ni udini na ukabila na koo saba....alisema NEC haiko balanced kidini na kijinsia,I mean c'mon of course you gonna make muslims mad! and those childish comments coming from a female MP? She was honored to represent female CDM members and she let a couple of sistaz down.

I watched the debate between Hamad and Freeman,and hamad mentioned about CDM's curiosity about CUF being Islamic and mbowe didn't even argue! Those kind of things makes people curious about the real CDM's interest with this udini thang.

****THINK,DEEPLY***
Kwa kweli suala la udini ni baya sana si la kuchekea wala kushadadia, wito wangu JF tuzike dhana ya udini, full stop.
 
Huyo ndiye Waberoya mkaazi wa Mbagala jijini Dar es Salaam - kwake Chadema haina uongozi na ina wapenzi vipofu na wajinga. Kwa Waberoya, Chadema imeshazikwa kwa sababu Waislamu wameikataa na bila wao kamwe Chadema haiwezi kukamata dola milele. Huyo ndiye Waberoya ambaye amewahi kudai kuwa gumzo kubwa mitaani Mbagala inahusu kutokubalika kwa Chadema kwa wakaazi wake wengi. Ningeshtuka sana kama Waberoya angesema vinginevyo ! It is called an obscession !

Wengine humu tunachukulia kama funny, wengine mko serious na hatred, sasa hoja yangu ya hapa na uliyoyasema wapi na wapi!

For me JF is funny na wote ni washikaji tu, wengine mna mihasira kama kifutu!

haya sema yote sasa
 
Ndugu Wabe, Chadema hawajalala wanayafanyia kazi hayo unayosema, kumbuka juzi juzi wamemsajili Prof. Abdalla Safari, huoni hiyo kama hatua in the right direction?

wote tungekuwa hivi mpaka raha!!! hujakubaliana na mimi kwa hoja nzuri laiiini, you are humble person believe me!

waberoya,.Is islamic fundamentalist.

Usitake ncheke, mimi niko neutral siyo mkristo wala sio muislamu!!

Hata mimi nashangaa amefanyaje hii risk assessment, umtoe mtu aliyekipa chama umaarufu kutoka kura laki 5 hadi mil. 2 na nusu kutoka wabunge watano hadi 50, kutoka Halmashauri 1 hadi kumi, nafikiri hiyo degree ya waberoya ya ufundi chundo haikumstaarabisha.
I know waberoya is not that he doesn't understand the power of Dr.Slaa he knows very well, but he is a person who doesn't appreciate in another words he is a selfish kind of person, he is been driven by internal force of grievances towards others and he always think he is clever than others, but one day he will come to realise that he was wrong.

Bado wewe sio Quinine ninayemfahamu, post yako imejaa hekima na hakuna matusi, kitu gani kimetokea? kikombe cha babu?

Keep it up brother, tusitoane mimacho tushindane kwa maandishi tu

hahaha!

basi mzee mwanakijiji; inatosha!

mtu mzima havuliwi nguo hadharani! please, please Mwanakijiji Pleeeeeeeeeeeease!!!

Umefuraaaaahi leo kuona naaaibika, FUMBA MACHO SASA!!

Nafikiri waberoya jaribu kupunguza jaziba wakati unapotaka kuandika habari za Chadema mara nyingi huwa naona akili yako ina cease kufikiri na mara nyingi huwa imefunikwa na wingu la udini. Unavyoonekana wewe ni pro CCM sawa lakini ili kutunza heshima yako jaribu uwe unakuja na criticism za weledi si za kujificha kwenye gamba la udini.

Turudi kwenye mada mbali na maneno yako ya kubeza posts za watu(hapo juu), unaposema Chadema kimeshakufa kwa tuhuma za sasa ni zipi hizo, kama ni tuhuma wewe umezipa uzito gani tuhuma za uongo au za ukweli kama zipo na unaposema waislam hawawataki ni wepi hao ulioongea nao au nayo bado ni tuhuma.

Ukijenga hoja kuwa Slaa kashindwa uongozi kwa sababu badala ya kura kuongezeka zimepungua tutakuelewa lakini ukisema kwa sababu waislam hawamtaki hautakuwa na hoja. Kwa sababu CDM si chama cha waislam na hakikuanzishwa msikitini kwamba bila kuwa na shehe ndani kitakufa. Ni ushauri wangu tu kama wewe ni mwislam na unaona CDM hakuna waislam kwa nini usumbuke chagua chama chenye waislam wengi ujiunge nacho, hata kama unasema unatoa ushauri kwa nini ulazimishe ushauri kama wenyewe hawautaki au wewe ni consultant wa CDM. Kama ukiona CDM hawataki ushauri try CUF au CCM uwape ushauri vinginevyo utaonekana msumbufu kuliko kuwa mshauri, ni hayo tu.

What happened to you guys, niliowategema kutoa matusi siyo wanaotoa matusi

I believe something is ringing!

Asante kwa hoja

Luv U
 
ND. Wana JF,

Mimi naona hatujamuelewa mkuu Waberoya, anachotaka kusema hapa ni kwamba haikuwa kosa kumchagua Dr. Slaa kuwa mgombea, isipokuwa kwa bahati mbaya historia yake ya kuwa aliwahi kuwa padre kwa namna moja au nyingine kuna baadhi ya watu wameitumia vibaya either kwa makusudi ilikupotosha au kwa bahati mbaya kwa kutokujua ukweli wa mambo.

Waberoya anasema kuna baadhi ya watu na wenzetu waislam wameaminishwa kuwa huyu ni kibaraka wa wakristu na kanisa kwa ujumla,hivyo anajaribu kutuonyesha kwamba kama tunataka kuishinda propaganda hii ambayo ni dhairi inazidi kuinyongonyeza CHADEMA na inaweza kuwa kama ya cuf ambapo leo hii watu wengi wanaichukulia ni ya kislam kutokana na propaganda za CCM.

Mfano hai ni juzi chadema walipotangaza maandamano nchi nzima mmesikia kauli ya waislam na maazimio yao, wenyewe wanaamini eti maandamano hayo yana agenda ya kuingoa serikali ya JK kwa sababu ni muislam, kitu ambacho si kweli. Kiujumla waberoya ana hoja ya msingi labda jinsi alivyoiwakilisha ndio imeeleweka vibaya, I stand to be corrected
Mkuu uko sahihi

Lakini naomba nikutahadharishe tabia ya wabongo kupenda kuiga-iga mambo

Si lazima kama CCM wamebadili kitu, basi na wapinzani nao wafanye hivyo... Kumbuka kwamba it took CCM a thousand missiles to review their team composition, so it may need one thousand and one missiles

In addition, if CDM repsond to such a move, then they will automatically show how unstable they are by just responding to current needs and abandon their long term strategies

Sidhani kama kuna mantiki ya Slaa kuondoka, if we follow that path, basi kesho watasema Mbowe aondoke, alikua DJ, Zitto aondoke (ana mahusiano na akina Rostam), Mnyika aondoke (hakumaliza shule).... the list goes on

My probelm hapa ni mtu kuwa na hoja simply because fulani ana hoja bila kuangalia zile pembe zinazoakisi uwepo wa chochote kile, yaani PESTLE

DONT BE AN EASY TARGET TO DERAILMENT
 
kwa kweli suala la udini ni baya sana si la kuchekea wala kushadadia,wito wangu jf tuzike dhana ya udini,full stop.

Surely, na inauma sana sana kuona vitu vizuri vinakufa kwa sababu ya udini, udini upo kwenye medani ya siasa tena sana, inapofika swala la kupiga kura ni uamuzi wa mtu na kura yake. Swala ni kuwa kuna vyama vimejiweka huko vionekane vya kidini, CUF kimoja wapo, CDM hwako huko wala hwana udini ila tunakoenda kinachukuliwa hivyo na alama ziko kila kona. Swala ni kufanya jambo kuuthibitishia umma kuwa hakiko hivyo, ili matumaini yetu ya kuindoa CCM yawe real
 
Wengine humu tunachukulia kama funny, wengine mko serious na hatred, sasa hoja yangu ya hapa na uliyoyasema wapi na wapi!

For me JF is funny na wote ni washikaji tu, wengine mna mihasira kama kifutu!

haya sema yote sasa

Kumbe unaleta mzahamzaha mbele ya ishu serious!!!. hivi kweli kuna mtu makini ataendelea kukuchukulia wewe serious ?.
Kweli kuna watu wakishindwa hoja huleta Vioja. na hiki ni kihoja at best.
 
Waaaat?
Yani Chadema iogope shutuma za Udini na kumwondoa Slaa? my goodness! Hii ni very poor reasoning!
Chadema imehubiri udini au ni watu wanaipaka Chadema udini?
This is very very low! Especially for a 49 year old person anayejiona mzee!
 
Mkuu uko sahihi

Lakini naomba nikutahadharishe tabia ya wabongo kupenda kuiga-iga mambo

Si lazima kama CCM wamebadili kitu, basi na wapinzani nao wafanye hivyo... Kumbuka kwamba it took CCM a thousand missiles to review their team composition, so it may need one thousand and one missiles

In addition, if CDM repsond to such a move, then they will automatically show how unstable they are by just responding to current needs and abandon their long term strategies

Sidhani kama kuna mantiki ya Slaa kuondoka, if we follow that path, basi kesho watasema Mbowe aondoke, alikua DJ, Zitto aondoke (ana mahusiano na akina Rostam), Mnyika aondoke (hakumaliza shule).... the list goes on

My probelm hapa ni mtu kuwa na hoja simply because fulani ana hoja bila kuangalia zile pembe zinazoakisi uwepo wa chochote kile, yaani PESTLE

DONT BE AN EASY TARGET TO DERAILMENT

Ni kweli kabisa, swala ni chadema kifanye nini kuondoa hizi tuhuma?? yale ni maoni yangu

Au hizi tuhuma hazina tatizo?
 
Sasa Wabe wewe mbona umeingiza udini ktk hili.Moja Chadema nani mchafu?unamzungumzia Slaa!!?unepotoka na wewe ktk kichwa chako nnaona fuvu tu sbb ya akili uliyoitumia kuutetea ujinga uliouandika.Nchi yetu haina dini Ila viongozi wake ndio wana dini so Slaa kuwa Mkatoliki inakuuma nini mpaka uuingize udini ktk Chadema.Kumbuka ccm yako isingejivua gamba Kama sio moto wa Chadema,Ila sikushangai maana nyie ccm na baba yenu Kikwete mkibanwa na hoja mkashindwa huwa mnaingiza udini kama ngao yenu.Hivi UFISADI na udini kipi kinaligharimu taifa hasa kwa Wananchi masikini?Wote waliocomment humu wapo tofauti kabisa na wewe so utakuwa una matatizo tu
 
Yaani mtu aliyewafanya wakubalike zaidi na kupata kura zaidi na kuwa chama cha kitaifa zaidi ndio aondolewe? Well.. itakuwa ni kufanya mambo kinyume nyume. Wenzenu wameondoa watu waliokiletea chama matatizo siyo waliokijenga. Sasa pendekezo kuwa Dr. Slaa aondoke kwa sababu ni tatizo - ni gumu kuliwekea msingi kwa sababu itabidi uangalie namba na kulinganisha namba uweze kusema kuwa Dr. Slaa ni tatizo.

Kama Chadema inataka ife kwa haraka na ikose hata nafasi ya pili 2015 basi ifanye hili unalopendekeza. Ukiniuliza mimi Dr. Slaa anahitaji kuwa mwenyekiti kabisa wa Chadema tena mtendaji. Na I have to admit it kwa sababu nilimuunga mkono na ninaamini kabisa kuwa Tanzania inahitaji mtu kama yeye kulipeleka taifa kunakotakiwa.

hata mimi namshangaa sana huyu.............ni mtu anaeuma nakupuliza...............toka atoe ile thread yake dhidi ya zitto akamshutumu vikali then baadae akaja akiwa uoande mwingine anamsifia zitto anafikiri sisi humu tunasahau.......leo anakuja na agenda ya ajabu kabisa....... amejaa chuki, dhihaka, kiburi na dharau sana huyu ......chadema sio ccm na kamwe chadema hawana magamba kama yaliyoko ccm.......na hata hivyo chadema wana utaratibu wao........weberoya ametawaliwa na myopic kind of thinking...he cannot think beyond the next meal

Wengine humu tunachukulia kama funny, wengine mko serious na hatred, sasa hoja yangu ya hapa na uliyoyasema wapi na wapi!

For me JF is funny na wote ni washikaji tu, wengine mna mihasira kama kifutu!

haya sema yote sasa
Mkuu nimesoma yoote but hii ndo umeharibu!
KAMA ULIJUA UMEWEKA KWA AJILI YA FUNNY KWA NINI UKATUMBUKIZA HUMU SI UNGEPELEKA KULE KWENYE UTANI HAPA WATU TUPO MAKINI BWANA ACHA UTANI WAKO PELEKA HUKO KWA CCM WENZIO!
 
Back
Top Bottom