Invisble275
JF-Expert Member
- Nov 28, 2014
- 982
- 1,166
Internet service provider ambao ndio Hizo machine zinatumia network yao.ISP wao ni nani mkuu. Make shida ya nchi yetu mambo mengi huwa tunafanya kwa zima moto na kutanguliza 10%. Mkuu mimi naona tatizo ulilolisema haliko kwenye mashine ila karatasi. Yawezekana wakapata supplier wa karatasi wa hovyo anaye supply karatasi za kutolea risit zisizo na viwango. Na hawa jamaa huwa wana deal na supplier wahindi. Ushauri wangu ni wafanyabiashara ambao tayari mnatumia machine hizi na wote mna experience matatizo kama uliyoyasema, bora muungane ili mpeleke malalamiko yenu TRA mapema ili kuepusha usumbufu wa siku moja kulazimishwa kulipa zaidi.