Muimba SINGELI
JF-Expert Member
- Dec 25, 2024
- 4,211
- 10,840
Tajiri hasalimii.
Poleni na mihangaikoni ya mchana kutwa wakuu.
KISA hiki hakihusiani na mapigano ya mitutu, lakini nimeyapitisha majina kadhaa kwenye ubongo wangu wakati nikifanya uchaguzi wa jina la kulioanisha na kisa hiki mwisho nikaishia kuchagua hili 'RISASI YANGU YA MWISHO'
Kuna huu msemo 'ukimfungia paka chumbani (kwa lengo la kumdhuru) chaguo pekee anabaki nalo ni kupambana na wewe'
Msemo huu unanirudisha nyuma kifikra hadi miaka kadhaa na kama ilivo kawaida Tajiri wiki hizi nimeamua kushiriki nanyi visa mbali mbali ili tupate kuburudika na kujifunza pia (kama kuna la kujifunza ndani yake π)
KISA hiki ni cha kweli kabisa na ambacho kilinitokea mwenyewe hivyo kuna baadhi ya vitu nitaweka bandia (majina ya wahusika na maeneo) ili kuleta hifadhi kwa wahusika nikiwemo.
PICHA linaanza ni asubuhi flani tulivu mwamba najianda kuingia kwenye mapambano ya kutafuta ugali wa moto. hapo ngoma za Hip hop zinakita kwenye bufa langu la mchongo, ilikuwa huniambii kitu kuhusu Shorobwenz hapo, Enzi hizo Darasa anaimba ngumu tu sio hizi za sasa eti 'nishatoka na demu Magomeni tukaja kumwagana mikocheni' π€£π€£π€£
Baasi bwana... muhuni nikaseti mazingira yote ndani na kutoka ili kuingia mihangaikoni.
Kipindi hiki nilikuwa natembeza mtumba lakini pia napiga mishe yeyote ya halali inayopita mbele hivyo japo mnada wa mitumba hufunguliwa kuanzia saa 4:45 lakini home nilikuwa nadamka mapema tu kuingia misele.
Nikatoka ndani na kuangaza macho ulimwenguni.
Nikashangaa kidogo baada ya kuona nyumba ya jirani kuna mtu anafagia uwanja lakini umbo lake ni geni kwangu.
Nikasimama kwa sekunde kadhaa nikimwangalia mtu yule kwa wizi ili asinishtukie.
Alikuwa ni mdada mrefu mweupe mwili wa kawaida ila shepu ni ya kwenda sana na tako flani la kuzugia.
Sikuwa naiona vizuri sura yake, lakini uvaaji wake tu ulinifikirisha pengine huyu dada anatoka kijijini.
Alikuwa amevaa gauni la kushona, kuna mtindo sijui ndio unaitwa mwanamke nyonga! Sijui ndio nguva ile! Binti Sayuni utanisaidi jina, gauni inakuwa inambana mwanamke kuanzia kiunoni hadi chini kabisa katikati ya vigimbi halafu hapo ndiyo inamwaga kwa mfumo wa malinda, mtindo huu huvaliwa sana na wadada kwenye maharusi kwahiyo nilipoona yule dada kavaa mtaani tena ni asubuhi kabisa nikahisi tu huyu atakuwa wakienyeji.
Kwakuwa pale anapofagia ni njiani kuelekea huko uraiani nikaona hii ni fursa ya kuiona sura ya yule dada ambayo nilijua tu lazima itakuwa ni nzuri. muhuni nikaanza kupiga hatua kuelekea kitaa kama ilivo ada kwa mwendo wa taratiibu kabisa, nilipofika karibu yake nikamsalimia lakini hakuitikia bali aliinuka tu na kunitazama.
Picha ambayo niliiweka kichwani ilikuwa sahihi, alikuwa ni mdada mzuri haswa.
Niliendelea kutembea huku nikisikilizia labda atajibu salamu lakini haikuwa hivyo.
'Kwanini hajarudisha salamu yangu, hajaisikia ama! Kama hajaisikia mbona ameinuka kunitizama! Itakuwa ana dharau mse.ge huyu'
Tambua hapa ni Mtaa wa Magomeni mkoani Mtwara.
Baasi bwana... kijukuu cha nyerere nikachanganya kwato na kupotelea kwenye wengi.
Nilipiga kazi kama ilivo kawaida hadi ilipofika jioni nikarudi mtaani.
Wakati naingia mtaani nilipo karibia kwenye ile nyumba ya jirani nikamwona tena yule dada akitoka ndani kuja nje huku jirani zangu (jamaa mwenye nyumba ambae ni mtu wa ibada tunamwita ustaadh na mke wake) wakiwa nje.
Nikatoa salamu huku nikiwapita kuelekea ilipo nyumba yetu ambayo naishi na Mama Tunu na Othman au Ochu kama anavyopenda kujiita mwenyewe.
Ochu ni mtoto wa Mama mwenye nyumba lakini mimi na Mama Tunu ni wapangaji.
Jirani zangu waliitikia ile salamu lakini yule dada alikula buyu tu, hapa sikuwaza sana kwanza muda huo kichwani mambo yashavurugana na jua kali la mchana.
nikafika ndani kwangu na kufanya harakati za ndani huku nikisubiri usiku uje kuifunika nchi, sasa wakati nipo ndani nikasikia Majirani wanaongea kwa sauti ya juu kidogo isivyokuwa kawaida.
Baada ya kuwaazima sikio langu ndiyo nikagundua ni yule binti ndiyo wanamwongelesha na hii ikanifanya nijiongeze kwamba yule binti ana matatizo ya usikivu hafifu.
Hapo sasa nikajikuta naifuta ile hali ya kumchukia kwa kile ambacho asubuhi nilikitafsiri kama dharau.
Baasi bwana... ikawa usiku ikawa asubuhi, ikawa usiku ikawa asubuhi, kama wiki hivi ikakata. Kumbuka hapo nilishajua mambo kadhaa kuhusu yule dada ambae anaitwa Mwanahamisi mdogo wake na Ustadhi.
Mwanahamisi ametokea mkoa wa lindi.
Muda huu tayari ustadhi alishampeleka yule dada katika madrasa ya wamama hapa mtaani, kiumri Mwana alikuwa anacheza na 19, 20.
Kadiri siku zilivyo zidi kwenda nikawa na mazoea ya kawaida tu na huyu binti, ambae kiasili ni mchangamfu ila ile hali yake ya usikivu hafifu ndiyo kuna muda huwa inamkata na kujikuta mnyonge, hasa muda ambao anakutana na mtu asiyeitambua changamoto yake.
Kama ilivyo kwa kijana yoyote ambae msafara wa bro SatanπΉ bado haujampa mkono wa kwaheri, taratibu nikaanza kuvutiwa na huyu mlimbwende na mawazo yangu yote yakiwa yana muwazia kingono.
Tajiri nikaanza kupiga hesabu ninamkula vipi huyu mrembo. umbo lake lilikuwa linanishawishi kwa hali zote kuona huyu dem kwenye show anakuwaje na ile figa yake mixer ule urefu na weupeπ
Niwe mkweli tu kipindi hiki nilikuwa sijapata demu ambae naendana nae urefu hivo kuna mtindo nilikuwa natamani kuujaribu (usiniulize niliuona wapi) ule mtindo wote mnasimama huku mkitazamana halafu yeye (mke) anainua mguu mmoja hasa wa kushoto theni muhuni unaushika kwa mkono wa kulia hafu mkono wa kushoto unamshika jogoo na kumfanya adonoe kitumbua kutokea chini, wanaume wafupi mnainjoy sana hapa, sisi warefu ni mpaka tutafute wanawake warefu sana au tutengenezeshe mbao maalum kwa sababu ya kusimamia warembo tukihitaji huu mtindoπ
Baasi bwana... baada ya kugundua kwamba mchuchu ana kisimu cha kuunga unga nikamvizia siku nikamwomba namba.
Hara baada ya kuipata haikuwa dawa tosha maana simu yenyewe leo inawaka kesho inazingua yaani tafrani, lakini pamoja na yote nikafanikiwa kumweleza dukuduku langu nae akakubali lakini akanipa vizingiti vizito kwamba hilo penzi litaishi vipi kwani yeye anaishi kwa kujiheshimu sana na hataki kuharibu heshima yake.
Nikamuhakikishia namna itakavyokuwa ni siri πͺ huku nikiongezea mimi pia nisingependa nijitie aibu kwa watu wanaoniamini mixer maudambwi udambwi mengine kama mnavyojuwa tena wazinzi wa jamiiAfrika.
Siku zikatembea taratibu huku shida na kikwazo kikubwa ikiwa ni mawasiliano maana kimeo chake ilifika muda kikafa kabisa. Ilikuwa tukionana tunaishia kutazamana tu kwani sikutaka kumtumia mtu yoyote yule kuwa mtu wetu wa kati, pia yeye hakumwambia mtu tulifanya ni siri haswaπ€
Siku moja nikapata taarifa kutakuwa na Mkesha wa ziara/zikiri (watu waislamu hukusanyika pamoja kama ilivyo maulidi na kuimba/kusoma dua) hii hufanywa mwaka hadi mwaka baadhi ya maeneo.
Miaka yote Ustadhi huwa anaenda kila inapofanyika hivyo nikajuwa tu lazima na raundi hii ataenda huko Mikindani na hii itakuwa ndiyo nafasi ya kujitafunia kimwanamisi changu.
Siku ya hiyo shunguli ikafika nikaamka mapema sana na kuanza kula lada ili nijuwe mizunguko ya Kaka na wifi yake mwana. siku hii niliitoa kafara yaani sitoenda kazini hadi nimpange mwana kwamba nahitaji tuonane usiku wa leo.
Nilifurahi sana kuona Ustadhi anaondoka kwenda kazini maana ndiyo namwogopa sana kuliko mkewe.
Mkewe nae alipoondoka nikawa nachora sasa nampata vipi mwanahamisi.
Japo nae alikuwa akitoka nje na kuniona lakini tuliishia kutazamana tu.
Hii ilikuwa ni mida ya saa 5 asubuhi.
Nilipoona hii gemu italala Doro nikaamua kujilipua, nikasubiri aingie ndani nami nikaenda kistaarabu kabisa kama kuna kitu naenda kuazima, nikabisha hodi kwa nguvu hadi akasikia alipoitikia nikazama ndani. Kumbuka ndani alibaki yeye tu watoto walikuwa shule.
Nikatumia muda huo kumpanga kila kitu kwa kumwambia kwamba bila shaka kaka na wifi yake wanaweza kwenda kwenye shughuli na kumwacha yeye na watoto hivyo nitahitaji tuonane usiku, haikuwa kazi tena kumpanga japo ana matatizo ya usikivu, kwa ambao wameishi na hawa watu wanaelewa yaani ukimzoea wala haumpayukii, ni ukimtazama yeye anasoma midomo yako tu unapoongea.
Baasi mchuchu akakubali tukapanga tutaonana vipi kisha mwamba chapu nikasepa (najilaumu hapa sikumchapa hata buthuπ)
Siku hii sikuwa mzurulaji kabisa, nilitulia tuli huku bwana Tajiri kichwa akisimama wima kila nikiliwaza umbo la mwana na kwamba eti usiku wa leo naenda kulitindua.
Mungu sio Poor Brain usiku ukafika na nilichokidhania kikaenda vilevile.
Majira ya kama saa 2:50 usiku ustadhi na mke wake wakaondoka na kumwacha mwanahamisi na madogo wawili.
Nikatulia tuli sehemu ambayo nimejibanza huku nikisubiri mwana aingie ndani ili madogo wawahi kulala kama tulivopanga mchana.
Hadi inafika saa 3:30 mwana bado alikuwa na madogo pale nje, nikaona huu sasa ni upuuzi nikachekecha akili fasta nikapata majibu, wazo nililolipata ni kumuandikia ujumbe mwana kupitia karatasi. Ila nikaona nitumie akili ya kijiniaz ili kuwapoteza mchezoni madogo (wakiume darasa la 4 wakike la 2)
Nikaingia ndani chapu nikakata karatasi kwenye daktari nikachukua peni kisha nikaandika hiviπ
{ '0784****23'
jifanye kama unaenda
kulala Mimi nakusubiri }
Hiyo namba ya simu niliweka ya kwangu maana ndiyo ilikuja kichwani kwa haraka.
Nikatoka nje na kuelekea walipo kina mwanamisi kwa ujasiri wa hali ya juu.
Nilipofika nikamwita akaitika nikamwambia "Mama faizi (wanasoma wote madrasa) amenipa hii namba amesema umpigie"
Akapokea karatasi mimi nikasepa na kurudi kwenye mtego wangu kuona kinachoendelea.
Nikamwona akiielekeza ile karatasi upande wenye mwanga ili aone vizuri.
Moyo ukapasuka kwa furaha baada ya kuona wote wanainuka kwenye mkeka na kuukunja.
Wakazama ndani huku mimi nikibaki nje kwani niliogopa kwenda ndani pengine usingizi ungeniharibia mpango wangu katika usiku ule.
Nitaendelea...