Risasi ya Kichwa

Sure,kuna upande hatujausikia
 
Watu wa mitandao mpunguze midomo, na viherehere, mwanaume alidhamiria kumuua huyo dada haikuwa bahati mbaya,

Malezi yana mchango mkubwa sana katika maisha mwanadamu,

Baba wa mwanaume nae aliwahi kuua huko kwao moshi,,, arrrghgh ila wachaga na hela๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ mnasema kaskazini hatoki fala ila tu naona nyie ndo mafala wa hii nchi mnatanguliza mali vitu pesa, mmekuwa waroho kupitiliza mpaka aibu
 
Tumekosa Sisi...Tumekosa Sisi...Tumekosa Sanaa...!!
Tunaomba Utusamehe Kape...!!
​
 
Ni vyema viongozi wa dini ya kikristo wawaambie waumini wao kuwa talaka inaruhusiwa kwao endapo wanandoa wataona wameshindwa kusuluhisha migogoro yao.

Hizi habari za mpaka kifo kitakapo watenganisha ndio huleta mauti.
mwenye mamlaka ya kutoa hati ya talaka........kama unayo ndoa kasome mwenye cheti ni nani......makanisa nu MAWAKALA...... hawana mamlaka ya kuvunja ndoa......elewa neno MAMLAKA., hata kwenye shauri la talaka hawahusiki popote.......serikali kupitia taasisi zake ndio pekee ina mamlaka........
 
Tusameheeee mamaanguuuuu ..........
 
Mwanaume akisaliti its okay mwanamke akisaliti ni dhambi kubwa mno haisameheki.But kosa si ni lile lile ulitoa nje na yeye akapokea nje.Mnapokuwa na good times mnaenda kwa michepuko magonjwa na shida zikiwapata unataka Mke ahangaike kwa nini usiende huko ulikokuwa unakula raha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ