Ashukuru kapona nadhani siku nyingine atakumbuka kuomba ulinzi wa Askari,mzembe mwenzake kafa jana Mlimani City...
Hiv vyombo vya usalama vinafanya nin?,TISS si wanasemwa kumaliza ujambazi ulioshamiri,kipindi Rais jakaya anaingia madarakani,hasa mtandao wa ujambaz wa mabenk,wao pamoja polisi,wanashindwa kumaliza mtandao wa ujambazi wa bodaboda unaokua siku baada ya siku,au strategic mistake&delay? God willing we shall overcome n' truth to be revealed.
Ashukuru kapona nadhani siku nyingine atakumbuka kuomba ulinzi wa Askari,mzembe mwenzake kafa jana Mlimani City...
uwezo wako wa kufikiri ni mdogo sana..!
Si bure..., ni mawili either haujui unachoongea au unashirikiana na hawa majambazi
Si bure..., ni mawili either haujui unachoongea au unashirikiana na hawa majambazi
Wizi wowote ule wa fedha unahusisha kazi ya ndani yaani ni inside job.
Muda mfupi uliopita katika barabara inayotoka Ukonga Mombasa kwenda Moshi bar, eneo la " kwa Temba" watu waliokuwa wakiendesha pikipiki wamevamia gari na kurusha risasi hewani kisha wakachukua kiasi kikubwa cha fedha iliyokuwa ndani ya gari.
Inasemekana kuwa meneja wa kituo cha mafuta cha Temba alikuwa akipeleka fedha kwenye kituo kikuu kilichopo Mzambarauni.
Hakuna majeruhi wala vifo