hahahahaah sasa umeshaanza kutupa utamu halafu unakatisha ooooooooohoooooo! rudi usifike mpaka hapo kaakwambali.ndugu hapafai...
na unasikia tu milio...paaaaa!hujui inakotokea!
unaweza ukajikuta unaifuata.
hahahahaah sasa umeshaanza kutupa utamu halafu unakatisha ooooooooohoooooo! rudi usifike mpaka hapo kaakwambali.
teheee!
risasi za moto wewe!
kama una mwavuli wa chuma aya...
vip unapeleka MBEGE kkoo?
nasikia chanzo ni nyumba ilitakiwa ivunjwe bt kuna watu walikuwa wanapinga isivunjwe na zie purukushan za watu kukimbizana zilitokana na mabomu ya machoz yalokuwa yakipigwa na police