Finder boy
JF-Expert Member
- Jan 20, 2012
- 608
- 150
naomba kufahamishwa risala kwa kiingereza inaitwaje? ahsanteni
sina ndugu, mfano risala kwa mgeni rasmi. yaani risala unayoisoma kwa mgeni rasmiHuna Kamusi?
Inategemea inatumika kwenye mazingira yapi!
Risala Letter/Message/Summary.
Speechnaomba kufahamishwa risala kwa kiingereza inaitwaje? ahsanteni