Ripoti ya Umoja wa Mataifa: Burundi inawasaidia waasi wa NRC kuiangusha serikali ya Kagame

Muda utaongea ila kagame naona kashaona maji ni mengi kuzidi unga alionao..Mr slim baada ya kujaza silaha na kuzifanyia upelelezi vya kutosha Tanzania,Uganda,DRC,Burundi akajiamini sana kiasi cha kuitukana Tanzania akiamini kuna mstari haitavuka kule drc,ila majibu aliopata ni tofauti kabisa na uhalisia vita ile ilipiganwa na JWTZ vs RDF wakiwa na sare halisi za rwanda.Kikwete alitaka kumuonesha uhalisia japo iliwekwa siri

Sent using Jamii Forums mobile app
Kivipi iyo JW vs Rdf

Sent using Jamii Forums mobile app
 
habari njema saana hii kwangu kwa leo baada ya kupoteza game la gabon

hao waasi wakiteka ata mkoa mmoja wa slim basi maadui wote wa slim ndani ya jeshi na nchi yake wataonesha sura zao halisi

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwamba Burundi anaweza kumhost Nyamwasa bila ruhusa ya Tanzania???

Yawezekana Tanzania na Uganda wakawa na mpango wa kumng'oa Kagame??
 
Kwamba Burundi anaweza kumhost Nyamwasa bila ruhusa ya Tanzania???

Yawezekana Tanzania na Uganda wakawa na mpango wa kumng'oa Kagame??
sio tanzania wala burundi mwenye uwezo wa kumsapoti kayumba kidogo south anaweza(gharama za silaha sio mchezo)

ushawishi wa tz kwa burundi uliondoka na jk

SGR ya jiwe na slim(urafiki wao) unampa mashaka na sababu ya nkuru kumsapoti kayumba bila tz

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Muda utaongea ila kagame naona kashaona maji ni mengi kuzidi unga alionao..Mr slim baada ya kujaza silaha na kuzifanyia upelelezi vya kutosha Tanzania,Uganda,DRC,Burundi akajiamini sana kiasi cha kuitukana Tanzania akiamini kuna mstari haitavuka kule drc,ila majibu aliopata ni tofauti kabisa na uhalisia vita ile ilipiganwa na JWTZ vs RDF wakiwa na sare halisi za rwanda.Kikwete alitaka kumuonesha uhalisia japo iliwekwa siri

Sent using Jamii Forums mobile app

Hawa watu wawili wananikumbusha sana ile "The Battle of Kisangani", hatari sana.

Nyamwasa alikuwa ni CoF na PK akiwa Gen na ile 221 Brigade yao.
 
Back
Top Bottom