Ripoti ya Umoja wa Mataifa: Burundi inawasaidia waasi wa NRC kuiangusha serikali ya Kagame

achana na buk-23 yangu bhana

hiyo sheria ya kuwapa raia nchi nyingi ipo ata tz ila kwa mr slim imewekwa hivi karibuni kwa sababu wanaofia machafuko tena

na ili upewe hyo lzm uwe na pesa na akili timamu(kumbuka hawa jamaa hawaundi hizo silaha wao so lzm uilipie)

kwaiyo ata hu2 akitaka na akiwa na vigezo watapewa(japo kwa kuzungushwa saana na masharti mengi)

Sent using Jamii Forums mobile app
Boss hujui unachokisema,hizo ni assumption zako lkn hivyo vigezo ulivyovisema hawafuati hata kimoja hapo.

Vigezo&masharti wanavijua PK+RDF+other security organs zao.
 
Hawa walitofuatiana kidogo tu, ilikuwa ni 2003 pale Nyamwasa aliambiwa ghfla anaenda kuwa balozi India.

Akaona hatua hiyo ni kuharibiana "bright future ahead" na akatimkia zake Johannesburg.
Najua hio inshu ya kua balozi india though kilicholeta shida zaidi ni hio"bright future ahead".
 
dah nakubali kidogo(nitafatilia zaidi)

lkn majirani zao burundi na drc silaha zimezagaa saana sasa huoni kama hyo vita itakuwa ni mbaya zaidi

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahah eti nakubali kidogo(aisee kweli waha wanabishana na radio mpk inazimika yenyewe,daaah).

DRC PK vikundi vyake viko huko miaka yooote na wala havijawahi kuisha,hao RNC wakikinukisha kutokea Congo wata deal na vikundi vya PK ndani ya DRC kabla hata ya kufika Rwanda.

Rwanda kwny makambi ya wakimbizi wa Burundi(huko ni training camps za waasi wa Nkurunzinza) ni kiasi cha wanafunguliwa tu kutekeleza kazi huku wakipewa support ya Logistics na PK.
 
sasa unaona ubishi umeasaidia nijue kuwa ata rwanda wanawatunza waasi wa nkuru

kundi la maana la pk drc lilikuwa ni m-23 ambalo kama likirudi tena litakutana na dhahama za sadc

RNC nadhani wakipewa full support na drc,burundi,m7 sidhan kama hao wanamgambo wa pk wataweza kuwazuia kumchungulia pk

najua pk ana jeshi zuri (kuzidi la drc na burundi) lkn je kama wakipigana kiukabila unadhan pk atachomoka?

Hio la kuwa train waasi wa Nkuru mbona ni muda mrefu sana,ndio maana hua nashangaa mnaposema eti this tym PK amechokozwa amekua mpole kisa atachapwa hahah.

Lilikirudi tena? kwani m23 walienda wapi?

Sasa M7 unamuweka hapo,wkt huyo wanamjua mpk chumbani kwake aisee.

Kwani wkt wa vita vya kikabila 94 nani alichomoka?
 
m-23 wapo sudan wengine uganda na rwanda na kuna luten mmoja wa ilo kundi mwaka jana alidakwa kigoma manyovu

vita kama ikitokea tena ya ukabila hali mbaya zaidi itawapata pua ndefu kuanzia kwao pia majirani hawawataki pia

majasusi wa slim wanatabia ya kijisifu wanaona kama vile m7 ni boya hana plan B ya kutoa masalia ya slim kwenye kitengo chake

alafu kama slim angekuwa yupo vzr hivyo asingebadilisha makazi ya kulala kwa miezi sita

M23 ni jina lkn movements zipo kama kawa na Congo ni kitovu chao wala hakuna kilichowaharibikia.Ww jua tu Congo haitakuja kua free from PK so long bado hio nchi haitawaliki na ina vikundi vya waasi kila sehemu.

Hao majasusi wanamsubiri M7 aondoe hayo masalia,maana washalimuonyesha mpk IGP wake Kayihura wako nae pamoja akawahiwa kidogo, naona kwa chief of defence walishtuka chap wakampeleka kua minister of work hahah.,it's a game.

Hio ya kuhama hama makazi naonaga kila mtaalamu wa kijeshi humu Jf anaisema so sielewi ukweli ni nini,hahah.

By the way PK hana hata habari na Nkuru wala hao RNC yuko zake Japan ana visit huko kwa siku 2 ,mwambieni nkuru ajaribu kusafiri kwenda hata hapo Nairobi aone moto wake.
 
"Ripoti hii inaonyesha kuwa wapiganaji wanatoka katika nchi za Afrika ya Kati, Afrika Mashariki na kusini mwa Afrika, na hata katika ukanda wa Asia ya mashariki."
Ina maana hao. Waasi kuna WaFilipino, wahindi, Wapakistan, maana hiyo recruitment ni tishio kwa PK.....
all in all. Vita ikipigwa lazima ukabila utokeze na. Hapo. Ndo. Kiama ya Kagame
 
Hawa jamaa wote(wafilipino+wahindi+wapakistan+watu from Africa ya kati+watu wa E/Africa) wanaenda kupigana na Marekani au na nchi yenye eneo dogo kuliko Tabora?hahah
 
Muda utaongea ila kagame naona kashaona maji ni mengi kuzidi unga alionao..Mr slim baada ya kujaza silaha na kuzifanyia upelelezi vya kutosha Tanzania,Uganda,DRC,Burundi akajiamini sana kiasi cha kuitukana Tanzania akiamini kuna mstari haitavuka kule drc,ila majibu aliopata ni tofauti kabisa na uhalisia vita ile ilipiganwa na JWTZ vs RDF wakiwa na sare halisi za rwanda.Kikwete alitaka kumuonesha uhalisia japo iliwekwa siri

Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo ni kweli na akamchimbaga mkwara Kikwete kua ntakusubiri sehem sahihi na muda sahihi na ntakupiga ila akashangaa yy ndio kapigika:ila kuna kitu nawaza hivi lile vuguvugu ndio labda lingemkuta jiwe ndio rais kipindi hicho sjui ingekuwaje!?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
M23 ni jina lkn movements zipo kama kawa na Congo ni kitovu chao wala hakuna kilichowaharibikia.Ww jua tu Congo haitakuja kua free from PK so long bado hio nchi haitawaliki na ina vikundi vya waasi kila sehemu.

Hao majasusi wanamsubiri M7 aondoe hayo masalia,maana washalimuonyesha mpk IGP wake Kayihura wako nae pamoja akawahiwa kidogo, naona kwa chief of defence walishtuka chap wakampeleka kua minister of work hahah.,it's a game.

Hio ya kuhama hama makazi naonaga kila mtaalamu wa kijeshi humu Jf anaisema so sielewi ukweli ni nini,hahah.

By the way PK hana hata habari na Nkuru wala hao RNC yuko zake Japan ana visit huko kwa siku 2 ,mwambieni nkuru ajaribu kusafiri kwenda hata hapo Nairobi aone moto wake.
umeme ukija nitarudia kusoma ili nibishe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom