Paul Alex
JF-Expert Member
- Jul 14, 2012
- 4,240
- 9,527
Rejea uchaguzi uliopita wa serikali za mitaa.
Afu uje na longo longo zako.
Na utafiti sio kura na tofautisha hii ripoti na kale ka poll mnakoklik mara mia mia utadhani mko kwenye tuzo za mziki
Hako ka~poll kako fair,na nyie si mkapigepige hata mara mia tano?