Ripoti ya Twaweza ya #SautiZaWananchi: Magufuli na CCM wang'ara dhidi ya wapinzani - Sept 22, 2015

Bora wakate hakuna mtu mwenye akili timamu anaweza kuangalia huo upuuzi utapita tu na pia makamanda tumekua active zaidi katika kufanikisha mabadiliko hatutalala adi ushindi upatikane.
VIVA UKAWA!!!
 
Mkapa katukana sembuse wewe,bensouda lazma awepo maana wana lumumba wana wa kubusti kwa malori na wasanii hawana mvuto,wanaegemea zaidi kwenye bao la mkono,mwaka u lazima mtage

Nakwambia Hivii Hayo Malori Tutatumia Mpaka Siku Ya Mwisho.Nyie Endeleeni Kuzuia Goli La Mkono Sisi Tunawapiga Goli La Offside Na Huyo Bensouda Hatumuogopi We Know What We Are Doing.
 
Matokeo tunayo, kama wanataka waheshimike watoe taarifa sahihi
Wewe ni nani??! Umezoea kudanganya watu na wanaokusikiliza uongo wako ni wale ambao wana akili za kitoto!!Kila kitu unajifanya unajua fyuuuuuuuuu kuna wakati mnaudhi sana badala ya kujikita kwenye hoja mnaanzisha hoja za kijinga ili kupotosha maana !!!!! Sijui mtakuwa lini na kuachana na huuu utoto!!!
 
>-Forum->-General Forums->-Jukwaa la Siasa

Topic:-Lowassa amgaragaza Magufuli matokeo ya tafiti ya TWAWEZA. CCM yahaha kupindua ukweli

Mungi-07:32 Today-

Wakuu,

Mabadilikoooooooooooooooooo!!!

Hivi karibuni taasisi ya twaweza ilifanya tafiti zinazohusiana na kampeni zinazoendelea hapa nchini ili kujua vyama na wagombea wao wanakubalika kwa kiasi gani kwa wapiga kura.

Taarifa kutoka kwa nzi wetu aliyepo kitengo cha tafiti ya twaweza ametumegea info kuwa Lowassa ni noma... Amemgaragaza Magufuli kwa mbali mno baada ya kupata zaidi ya 71.4% ya watu waliohojiwa, huku magufuli akiwa na 20.7%, kura zilizobaki vyama vingine pamoja na wasioamua wanakamilisha asilimia zilizobaki.

Baada ya ccm kuona hali imekuwa tetr wamewaangukia twaweza kuja na tafiti feki ya uwongo, kwa kutumia matukio ya zamani kabla hata magufuli hajawa mgombea au kutoa uwongo wa namna yoyote kuifanya ionekane ccm wanaongoza kwa angalau 68% na Lowassa 22%..... Taarifa hizo za kipuuzi zinatarajiwa kutolewa muda wowote kuanzia sasa...

Inasemekana akina Maria Sarungi walishawekwa sawa baada ya kupata sehemu ya mgawo wa zile fedha 150bilioni za kutengeneza movie...

Muda wowote watakuja na utafiti waobfeki tuwasubirie, baada ya hapo kila kitu kitaanikwa hadharani..


Taarifa hii ni kwa hisani ya mtu wa Tanganyika..

Bora mlivogundua mapema kwani hawa twaweza wanataka kucheza na akili za with, wanamwongezea chura mwendo..
 
Ni shiida, tarifa zilizokuwepo ni kwamba wangekuwa hewani kuanzia saa nne hadi saa sita mchana. Baada ya Lowassa kugaragzwa vibaya na Tingatinga, wamesitisha matangazo, NASAKO ameondoka kinyooonge. Poleni sana ITV na UKAWA kwa ujumla.

acha kura ziongee unakiherehere cha nini?
 
na amegalagazwa kweli yule mzee mimi nadhani ni wakati muafaka sasa kuueleza umma juu ya tuhuma zake za ufisadi kama ni kweli anahusika watanzania ni watu wema sana watamsamehe tu.

#nimestuka
 
wana JF bwana wanapenda positive report hata kama haiwezekani. Tafiti zote ambazo zilishafanyaka mara zote matokeo huwa na muelekeo huo huo. Yaani matokeo ya uchaguzi. Fanyeni tafiti nje ya jamii forum ndo utajua ukweli. Humu kazi ambayo huwa naona ni kupeana habari za kufanana na kufurahishana tu. Enzi hizo JF ilikuwa kweli ni ya Great thinkers but now napata mashaka. Makanjanja wako wengi. Utasikia eti hata waangalizi wa kimataifa wanaikubali UKAWA!!!!! HEBU TURUDISHE HADHI YA JF
 
Wakuu,

Twaweza kupitia utafiti wao wa Sauti Za Wananchi wanazindua utafiti kuelekea Uchaguzi mkuu leo hii, saa nne kamili asbuhi hadi saa sita katika ukumbi wa Makumbusho.

Ripoti hiyo ya #SautiZaWananchi inahusisha vyama vyote vitakavyoshiriki #Uchaguzi2015 katika kugombea kiti cha uraisi.JamiiForums kushirikiana na Twaweza inawaletea LIVE updates ya uzinduzi wa ripoti na tafiti za ripoti hiyo.

Wasalaam!

View attachment 289727
Mkurugenzi wa TWAWEZA

Uzinduzi umeanza rasmi saa 4:10 Asubuhi.
=========

2012 Udiwani asilimia 60 wangepigia CCM

2015 kwenye udiwani asilimia 60 CHADEMA 24% CUF 2% ACT 1% UKAWA 3%

Mwaka 2014 Kwenye ubunge 47% 23% 4%

Mwaka 2015 kwenye ubunge asilimia 60 wangepigia CCM, CHADEMA 26%

Kwenye urais mwaka 2014 wangeipigia kura CCM asilimia 51 na CHADEMA asilimia 23

2015 kwenye urais 66% wangepigia kura CCM, 22% CHADEMA, UKAWA 3%

Kama uchaguzi ungefanyika leo asilimia 65% walisema Magufuli, 25% walisema Lowassa.

Magufuli anapendwa zaidi vijijini na Lowassa vijijini japo kote Magufuli anaongoza, kadri watu wanavyokuwa wazee wanamchagua Magufuli na Lowassa kwa vijana zaidi.

Zaidi ya asilimia 60 ya wasiosoma wako kwa Magufuli, nusu ya wasomi wako kwa Magufuli.

Kwanini utampigia kura mgombea wako, kwa Magufuli ni kwa sababu ni mchapakazi karibu wote na kwa Lowassa asilimia kubwa sababu anaweza kuleta mabadiliko.


Mkuu JF

Hao CCM wakwende na utafiti wa Ukoo wao wa watu 1400

Bora hata hawa hapa chini wana afadhali.
 

Attachments

  • 1442910491859.jpg
    1442910491859.jpg
    34.3 KB · Views: 226
utampaje mtu cm ili atoe maon? intelijensia ya chadema ipo imara na ndan ya siku mbil watajibiwa tena kwa ushahd ww subir
 
Ama kweli wazimu ukikupanda itatembea hata utupu,hawa twaweza ndio wamepigwa bao mchana kweupe na mafisiem na udanganyifu wao!!!
 
Kuna urafiki mkubwa kati ya January Makamba, Maria na Aidan..... Yaani CCM wanajitekenya na kucheka wenyewe

Huu utafiti hauna uhalisia wowote,haureflect the real situation,kwanza hawajasema hao vijana,wanaume,wanawake,wa vijijini na mjini ni % ngapi ya waliojiandikisha,ila afadhari takwimu za kuashiria goli la mkono zimetoka mapema ili ukawa wajipange zaidi kuzuia ili goli,hakika nchi hii wasome uchwara wako wengi ndo maana linchi lenye kila aina ya raslimali halisongi mbele
 
hata mimi nilikua ccm sasa nimekua na wasiwasi na nimeamin ccm wanahonga pesa kufanya siasa chafu! Kura yangu ipo kwa Lowasaaaa. Twaweza kama tawi dogo la ccm
 
huu utafiti hauna uhalisia wowote,haureflect the real situation,kwanza hawajasema hao vijana,wanaume,wanawake,wa vijijini na mjini ni % ngapi ya waliojiandikisha,ila afadhari takwimu za kuashiria goli la mkono zimetoka mapema ili ukawa wajipange zaidi kuzuia ili goli,hakika nchi hii wasome uchwara wako wengi ndo maana linchi lenye kila aina ya raslimali halisongi mbele
ukweli upo pale pale kelele na fujo zitapungua mjini sasa
 
Back
Top Bottom