Alikuwapo Philipo Mangula katika siasa ya Tanzania Chama cha Mapinduzi
Mtu huyu yuko wapi na anafanya nini sasa Kutoka Ukatibu Mkuu wa CCM mpaka jina kufifia namna hii
Kwenye CCM kuna mambo ya ajabu, huyu jamaa sidhani hata kama wanamshirikisha kwenye maamuzi ya chama kama mshauri. jamaa wamempoteza kabisa.
Niliwahi kukutana na ndugu Mangula kule Njombe; alikuwa na afya nzuri kuliko alivyokuwa katibu mkuu wa CCM.
Alipokuwa Katibu Mkuu nadhani alikuwa anafanya kazi sana na ndio maana hakuwa na hali nzuri kama aliyonayo sasa. Hivi sasa anajishuhulisha na kilimo kijijini kwake Kinenulo na ana mashmba makubwa ya viazi ulaya na mahindi; matrela yanatoka Kenya kuja kununua bidhaa toka shambani kwake.
Huyu bwana ni kielelezo cha visasi na unafiki wa Kikwete kwa watu ambao hawakumuunga mkono au walimpinga wakati wa kuusaka Urais!! uwezo wake wa kuongoza na kujenga hoja ni mkubwa kwani amani tunayoiona visiwani sasa ni matunda ya kazi yake wakishirikiana na maalim Seif.
he he he nategemea kuwa mgombea huru wa urais wa tz. dondosha kura yako kwangu.Geoff ngoja nifikirie chama mbadala hizi habari za hiki chama kila siku zinanikera ,..vip wewe ni mhasisi wa chama ?
kwani unamtafuta wanin?thanks angalau sasa nina idea
Nimemwona siku wiki moja iliyopita pale Luther House mida ya lunch, alikuwa na jamaa mmoja wanafanana kwa mbali, jamaa anaonekana katulia kiasi.
Hope he wont be back unless kuna backup ya kutosha.
kwani unamtafuta wanin?
isije ikawa unazitaka info zake umeagizwa na mganga wako...!πnimemkumbuka Geoff na si vyovyo ..
kama nilivyosema jana nililkuwa najaribu kupitia pitia siasa za Chama hiki ndio nikamkumbuka ila sikujua amepotelea wapi
Kama ujuavyo JF hakuna linaloshindikana sasa nimezipata info zake
halafu nashangaa kweli ujue,isije ikawa unazitaka info zake umeagizwa na mganga wako...!π
FL unataka kuanzisha Chama cha Siasa? Huyu mzee katika wanasiasa hodari wa kizazi chake yeye ni nambari ONE! Anao upeo mkubwa sana wa mambo ya siasa na anapenda kusimamia ukweli na haki.
isije ikawa unazitaka info zake umeagizwa na mganga wako...!:d
George_Porjie mbona unanimaliza kiivyo ππhalafu nashangaa kweli ujue,
huyu mpwazzzz leo vipi kaibukia huku??
anataka kugombea ubunge nini??, maana 2010 ndio hiyo.
TUNAELEKEA UCHAGUZI2010!na kama unavyosema UPO KIKAZI ZAIDI!mhhahahahahah hehehehe jamani nyie wewe geoff mie namtakia nini jamani ..mpaka nimwendee kwa kalumanzira
TUNAELEKEA UCHAGUZI2010!na kama unavyosema UPO KIKAZI ZAIDI!mh
huenda umeambiwa upeleke ubongo wake ili uikamate ROMBO