Mwanakijiji,
Mambo yote yaliyoandikwa kwenye hiyo report yamejadiliwa hapa kwa muda mrefu. Tofauti tu kwasasa ni kwamba yameanishwa na kamati ya CHADEMA yenyewe.
Swala la wabunge wa viti maalumu liko wazi mno, hapo ndipo palipoanzia matatizo mengi.
CHADEMA wangeshughulikia haya matatizo mwaka jana effect yake ingelikuwa ndogo sana kuliko hizi tuhuma za kila siku zinazozagaa sasa. Nina uhakika uchaguzi wa desemba una nafasi kwenye huu mgogoro wa sasa, ingawaje si ajabu hata CCM nao wako pembeni wakishangilia.
Wao si viongozi wa CHADEMA wala si wajumbe wa Kamati Kuu iliyomsimamisha Wangwe. Ni watanzania walioko ya uongozi wa chama. Mmoja tu ndiye mwanachama wa CHADEMA, Kitila Mkumbo. Wengine ni waandishi tu.
Asha
Halafu mbona mnanichangia wengi jamani: peasant, kasheshe nk wote against Asha, leo tutakesha hapa!
Lakini mi natoa hoja nyingi nyie hata hamzijibu hoja badala yake mnahamisha mjadala. Sasa hapa nimejibu hoja kwa kina wewe unazua lingine kabisa la uchambuzi huru wa wakina mwanakijiji, au umeshindwa kuzichambua hoja zangu na kuzipinga?
Mwanakijiji,
Chama ambacho kinaendeshwa hivyo, unategemea report yao iwe na maajabu?
Muhimu hapa ni kile kinachoongelewa, kama ingelikuwa usomi na uwezo wa kuandika reports basi labda NCCR wangelikuwa mbele sana.
Kinachonishangaza mimi ni kwamba haya madai yapo tokea mwaka 2006 na sioni juhudi ikifanywa kuyatatua.
Pia najiuliza kama akina Mziray walisema hayo mwaka 2007, kwanini CHADEMA wamemsimamisha Wangwe uongozi kwa kusema mambo hayo hayo?
Mimi niliandika muda mrefu kwamba simwoni Mbowe kama leader, ni mpiganaji anayejua kutafuta anachokitaka lakini sioni kama ana skills za uongozi. Kadri ninavyosoma mambo ya CHADEMA nazidi kuamini kile nilichoanza kuamini siku nyingi.
CHADEMA sasa inategemewa na Watanzania kama chama kinachoweza kuongoza nchi kama CCM wataporomoka, lakini kwa haya mambo ambayo tunasoma, kweli mtaweza kuvuta watu huru katikati waje CHADEMA?
Nafikiri wakati umefika wa kuiona CHADEMA ni kubwa kuliko Mbowe na kuamua kuchagua kiongozi mwingine ambaye ataongoza chama katika kipindi hiki kigumu. Contribution ya Mbowe kwa CHADEMA ni kubwa sana lakini huenda uwezo wake umefikia hapo, inatakiwa watu wenye mawazo mapya, skills mpya na aina mpya ya uongozi.
Mimi nilifikiri Mnyika ndiye msemaji mkuu wa CHADEMA maana matamko mengi yanatolewa na yeye.
Dada Asha nimekusoma, ila kila nikisoma naona unajifunga kamba zaidi ya kujifungua. Wakati mwingine unaweza kuisaidia CHADEMA kwa kukaa kimya kuliko kuandika.

Na ripoti yenyewe ishajadiliwa hapa muda mrefu.
Matatizo yapi hayo ambayo ulitaka washughulikie mwaka 2007, hebu nieleze matatizo yapi speficially. Manake naona unawaza matatizo ambayo hayapo. Nimeeleza hapa kwamba hiyo Kamati imeandika uwongo mwingi sana.
Hilo la Viti Maalum Wabunge ulitaka walifanyaje? Maana wamelijadili mpaka kwenye mkutano Mkuu Agosti 13, mwaka 2006 Chama kikaona faida zilizopatikana na mchakato uliotumika na mapungufu yaliyojitokeza.
Chama kikabadili Katiba hiyo 2006 ili uteuzi wa viti maalum mwaka 2010, badala ya kufanywa na Kamati Kuu pekee ufanyike kwa ushindani wa kugombea kupitia Baraza la Wanawake wa CHADEMA(BAWACHA).
Halafu chama kikamaliza huu mjadala, mkutano mkuu kwa kauli moja na wakina Chacha Na Mziray wakiwepo na wao wakiunga mkono hoja ya kufunga mjadala na kusubiri 2010.
Sasa wewe ulitaka suluhisho gani zaidi mwaka 2007 kuhusu suala hilo? Ulitaka Chama kijitokeze na kuwakata Shingo wabunge wote watatu wa viti Maalum ambao ni ambao ni wachagga lakini wamechaguliwa kwa uwezo wao ili nafasi ziwe wazi?
Manake tume ya uchaguzi ndio inatangaza wabunge kwa vipindi vya miaka mitano, ulitaka wakatwe mapanga kwa uchagga wao ili wateuliwe makabila mengine?
Ni hao hao wakina Suzan Lyimo ambao wanapigwa vita ndio wanaotoa mchango mkubwa bungeni kwa elimu yao na uzoefu wao.
We ulitaka ateuliwe nani Mtanzania? Halafu labda turudi kwa CCM,mbona wabunge wa viti maalum wachagga ni wengi kuliko makabila mengine? Mbona hakuna anayesema?Hebu tupewe hapa orodha ya mikoa ambayo si Kilimanjaro ya Wachagga lakini ina wabunge wa viti maalum wachagga. Hebu be analyitical kidogo utupe hoja za upande wa pili.
Naanza na Martha Mlata-huu ni mchagga anayewakilisha mkoa gani vile?
Na Lucy Nkya si Mbunge wa viti Maalum Morogoro, hivi naye ni kabila gani vile?
Asha
Sikiliza Bi Asha,
Kwa bahati nzuri au mbaya sijawahi kuwa mwanachama wa chama chochote, na sikumbuki kama nimewahi kupiga kura! Lakini nilikuwa nina mpango wa kutumia haki 2010 maana nafikiri nitakuwepo nyumbani, na kwa kupitia JF na kufuatilia mambo yanavyokwenda nyumbani nilikuwa nimeanza kuvutiwa sana na CHADEMA (the first thing you should know about me ni kwamba I HATE CCM), lakini sasa ninapoona habari kama hizi kwa kweli ninashtuka na kujiuliza kama uamuzi wangu ni sahihi.
Angalia jinsi hawa jamaa walivyo wazushi na wazandiki. CHADEMA makao makuu hakuna afisa yoyote anayeitwa Regina Mrema. Sasa hii ni sehemu moja tu yenye uwongo wa dhahiri wenye kuchochea ukabila. Mnakumbuka hapa niliwahi kumzungumzia dada mmoja aliyekuja kwetu Zanzibar akiitwa Regia Mtema, huyu ndiye wanayemsema. Na masikini binti wawatu mwenye ulemavu lakini mchapa kazi kweli wala sio mchagga. Ni mtu wakutoka Morogoro. Hana asili yoyote ya uchagga. Mimi nimepata nafasi ya kuonana nae. Alikuja kwenye Kongamano la Wanavyuo na Vijana katika siku ya Muungano 26 Aprili ambapo CHADEMA waliliandaa hapa Zanzibar. Ni afisa mwandamizi ya vijana, ndiye anayefanya kazi badala ya John Mnyika. Asha
Michango yako inatia shaka na msimamo wako! Soma hoja zangu zote na zile links za Paparazi Muwazi halafu tembelea pia www.chadema.net ili ukifanya maamuzi ufanye maamuzi ukiwa full informed. Ama sivyo utakuwa mwanachama bendera. CHADEMA haipaswi kuwa na wanachama tiara, lazima wanachama wakijue chama na wafuatilie mambo ya chama na wawe tayari kueleza kuhusu chama chao kama Kitila Mkumbo. Ukishasoma yote hayo tuwasiliane kupitia ashabdala@yahoo.com au ashawazenj@gmail.com. Karibu sana chama cha demokrasia na maendeleo.
Asha
Hivi wewe Asha wewe, kwa nini unadhani kwamba sisi tukuamini wewe dhidi ya Tume ya watu watano insiders wa CHAMEMA walioandika ripoti ?
Wakati wewe ni kada, mpiga debe, mkereketwa, mtetea shutuma dhidi ya CHADEMA, kachero mtafuta maadui wa CHADEMA .
Nyote nyinyi ni insiders halafu mnatuambia mambo ambayo obviously yana uongo, manake yanajipinga.
Sasa sisi tujueje nani mwongo kati yenu?
Unafikiri Wapiga Kura wana patience ya ku sort out nani mwongo?
Chama lenu lina a big hedious mess right now.
Kubali hilo Asha. Kubali.
Hivi hii kamati ya Mziray ilianzishwa na nani? Na hiyo ripoti walimkabidhi nani? Mziray ni nani huko Chadema?
Ripoti hii ya utafiti wa kamati ya Mziray ndiyo ilikataliwa na FREEMAN MBOWE lakini pia haikiwahi kuwekwa wazi kwa watanzania, hususan mashabiki, wapenzi na wapiga kura wa CHADEMA.
Hivi wewe Asha wewe, kwa nini unadhani kwamba sisi tukuamini wewe dhidi ya Tume ya watu watano insiders wa CHAMEMA walioandika ripoti ?
Wakati wewe ni kada, mpiga debe, mkereketwa, mtetea shutuma dhidi ya CHADEMA, kachero mtafuta maadui wa CHADEMA .
Nyote nyinyi ni insiders halafu mnatuambia mambo ambayo obviously yana uongo, manake yanajipinga.
Sasa sisi tujueje nani mwongo kati yenu?
Unafikiri Wapiga Kura wana patience ya ku sort out nani mwongo?
Chama lenu lina a big hedious mess right now.
Kubali hilo Asha. Kubali.
UKWELI WA MOSHI UNAOFUKA NDANI YA CHADEMA
Mwenyekiti anamshirikisha vipi Makamu katika utendaji wa kazi tumebaini kwa waliohojiwa kuwa Mwenyekiti huteua baadhi ya watendaji kufanya nao kazi au kuwapa maagizo ya ofisi.
Mwenyekiti anapokuwa safarini hufanya mawasiliano na Bw. JOHN MNYIKA badala ya kuwasiliana na Makamu Mwenyekiti kama mtendaji wa shughuli za chama.