'Ripoti' ya Mziray na Mabadiliko ya Chadema kuelekea 2010

Lakini hao viongozi wa CHADEMA wameonyesha weakness kwa kumchagua Mziray kuongoza uchunguzi wakati yeye mwenyewe ndio alitoa hiyo hoja ya kuwepo ukabila! Sasa walitegemea matokeo yapingane na shutuma/hoja zake? Au nao walikuwa wamempa bomu tu wakijua hata report iwe nzuri kiasi gani wataikataa tu? It's true kwamba report ni mbovu, na haijawa structured as a report, lakini je huyo Mziray ana uwezo kiasi gani wa kuweza kutengeneza reasonable report? Asijekuwa ni satili ya kina Samwel Chitalilo, sasa unategemea nini? Manake ndio wanasiasa wa bongo hao!
 
Mwanakijiji,

Chama ambacho kinaendeshwa hivyo, unategemea report yao iwe na maajabu?

Muhimu hapa ni kile kinachoongelewa, kama ingelikuwa usomi na uwezo wa kuandika reports basi labda NCCR wangelikuwa mbele sana.

Kinachonishangaza mimi ni kwamba haya madai yapo tokea mwaka 2006 na sioni juhudi ikifanywa kuyatatua.

Pia najiuliza kama akina Mziray walisema hayo mwaka 2007, kwanini CHADEMA wamemsimamisha Wangwe uongozi kwa kusema mambo hayo hayo?

Mimi niliandika muda mrefu kwamba simwoni Mbowe kama leader, ni mpiganaji anayejua kutafuta anachokitaka lakini sioni kama ana skills za uongozi. Kadri ninavyosoma mambo ya CHADEMA nazidi kuamini kile nilichoanza kuamini siku nyingi.

CHADEMA sasa inategemewa na Watanzania kama chama kinachoweza kuongoza nchi kama CCM wataporomoka, lakini kwa haya mambo ambayo tunasoma, kweli mtaweza kuvuta watu huru katikati waje CHADEMA?

Nafikiri wakati umefika wa kuiona CHADEMA ni kubwa kuliko Mbowe na kuamua kuchagua kiongozi mwingine ambaye ataongoza chama katika kipindi hiki kigumu. Contribution ya Mbowe kwa CHADEMA ni kubwa sana lakini huenda uwezo wake umefikia hapo, inatakiwa watu wenye mawazo mapya, skills mpya na aina mpya ya uongozi.

Mimi nilifikiri Mnyika ndiye msemaji mkuu wa CHADEMA maana matamko mengi yanatolewa na yeye.

Dada Asha nimekusoma, ila kila nikisoma naona unajifunga kamba zaidi ya kujifungua. Wakati mwingine unaweza kuisaidia CHADEMA kwa kukaa kimya kuliko kuandika.
 
Mwanakijiji,

Mambo yote yaliyoandikwa kwenye hiyo report yamejadiliwa hapa kwa muda mrefu. Tofauti tu kwasasa ni kwamba yameanishwa na kamati ya CHADEMA yenyewe.

Swala la wabunge wa viti maalumu liko wazi mno, hapo ndipo palipoanzia matatizo mengi.

CHADEMA wangeshughulikia haya matatizo mwaka jana effect yake ingelikuwa ndogo sana kuliko hizi tuhuma za kila siku zinazozagaa sasa. Nina uhakika uchaguzi wa desemba una nafasi kwenye huu mgogoro wa sasa, ingawaje si ajabu hata CCM nao wako pembeni wakishangilia.

Na ripoti yenyewe ishajadiliwa hapa muda mrefu.

Matatizo yapi hayo ambayo ulitaka washughulikie mwaka 2007, hebu nieleze matatizo yapi speficially. Manake naona unawaza matatizo ambayo hayapo. Nimeeleza hapa kwamba hiyo Kamati imeandika uwongo mwingi sana.

Hilo la Viti Maalum Wabunge ulitaka walifanyaje? Maana wamelijadili mpaka kwenye mkutano Mkuu Agosti 13, mwaka 2006 Chama kikaona faida zilizopatikana na mchakato uliotumika na mapungufu yaliyojitokeza.

Chama kikabadili Katiba hiyo 2006 ili uteuzi wa viti maalum mwaka 2010, badala ya kufanywa na Kamati Kuu pekee ufanyike kwa ushindani wa kugombea kupitia Baraza la Wanawake wa CHADEMA(BAWACHA).

Halafu chama kikamaliza huu mjadala, mkutano mkuu kwa kauli moja na wakina Chacha Na Mziray wakiwepo na wao wakiunga mkono hoja ya kufunga mjadala na kusubiri 2010.

Sasa wewe ulitaka suluhisho gani zaidi mwaka 2007 kuhusu suala hilo? Ulitaka Chama kijitokeze na kuwakata Shingo wabunge wote watatu wa viti Maalum ambao ni ambao ni wachagga lakini wamechaguliwa kwa uwezo wao ili nafasi ziwe wazi?

Manake tume ya uchaguzi ndio inatangaza wabunge kwa vipindi vya miaka mitano, ulitaka wakatwe mapanga kwa uchagga wao ili wateuliwe makabila mengine?

Ni hao hao wakina Suzan Lyimo ambao wanapigwa vita ndio wanaotoa mchango mkubwa bungeni kwa elimu yao na uzoefu wao.

We ulitaka ateuliwe nani Mtanzania? Halafu labda turudi kwa CCM,mbona wabunge wa viti maalum wachagga ni wengi kuliko makabila mengine? Mbona hakuna anayesema?Hebu tupewe hapa orodha ya mikoa ambayo si Kilimanjaro ya Wachagga lakini ina wabunge wa viti maalum wachagga. Hebu be analyitical kidogo utupe hoja za upande wa pili.

Naanza na Martha Mlata-huu ni mchagga anayewakilisha mkoa gani vile?

Na Lucy Nkya si Mbunge wa viti Maalum Morogoro, hivi naye ni kabila gani vile?

Asha
 
Wao si viongozi wa CHADEMA wala si wajumbe wa Kamati Kuu iliyomsimamisha Wangwe. Ni watanzania walioko ya uongozi wa chama. Mmoja tu ndiye mwanachama wa CHADEMA, Kitila Mkumbo. Wengine ni waandishi tu.

Asha

Halafu mbona mnanichangia wengi jamani: peasant, kasheshe nk wote against Asha, leo tutakesha hapa!

Lakini mi natoa hoja nyingi nyie hata hamzijibu hoja badala yake mnahamisha mjadala. Sasa hapa nimejibu hoja kwa kina wewe unazua lingine kabisa la uchambuzi huru wa wakina mwanakijiji, au umeshindwa kuzichambua hoja zangu na kuzipinga?

Sikiliza Bi Asha,

Kwa bahati nzuri au mbaya sijawahi kuwa mwanachama wa chama chochote, na sikumbuki kama nimewahi kupiga kura! Lakini nilikuwa nina mpango wa kutumia haki 2010 maana nafikiri nitakuwepo nyumbani, na kwa kupitia JF na kufuatilia mambo yanavyokwenda nyumbani nilikuwa nimeanza kuvutiwa sana na CHADEMA (the first thing you should know about me ni kwamba I HATE CCM), lakini sasa ninapoona habari kama hizi kwa kweli ninashtuka na kujiuliza kama uamuzi wangu ni sahihi.
 
Ninaogopea nchi yetu inavyoenda siku hizi....kitu ambacho JKN namsifia kikubwa sana alichofanya ni kutufanya Tanzania ni nchi ya kabila moja na dini moja.

Sasa kuna watu wanjitokeza wanaanza kutumia Dini na Kabila kama silaha....hii itatuangamiza sana.

Hio report ya Mziray ina mapungufu sana na kibaya zaidi ameweka dini na ukabila kama vigezo........hawa watu wa namna hii ni hatari sana wanataka kivunja misingi ya nchi yetu iliyojengwa na JKN.

Ukitaka madhara ya ukabila angalieni Rwanda,Kenya,Somalia na Sudan...jamani tuwe waanglifu sana na hawa wahujumu wa nchi yetu.

Mimi ni mwislamu sio mchaga na sio CCM wala Chadema lakini napokuja kuona watu wanaanzisha hizi issue za ukabila na udini katika nchi yetu huwa damu yangu inachemka.....hio ripoti nawaombeni someni kwa makini
 
Mwanakijiji,

Chama ambacho kinaendeshwa hivyo, unategemea report yao iwe na maajabu?

Muhimu hapa ni kile kinachoongelewa, kama ingelikuwa usomi na uwezo wa kuandika reports basi labda NCCR wangelikuwa mbele sana.

Kinachonishangaza mimi ni kwamba haya madai yapo tokea mwaka 2006 na sioni juhudi ikifanywa kuyatatua.

Pia najiuliza kama akina Mziray walisema hayo mwaka 2007, kwanini CHADEMA wamemsimamisha Wangwe uongozi kwa kusema mambo hayo hayo?

Mimi niliandika muda mrefu kwamba simwoni Mbowe kama leader, ni mpiganaji anayejua kutafuta anachokitaka lakini sioni kama ana skills za uongozi. Kadri ninavyosoma mambo ya CHADEMA nazidi kuamini kile nilichoanza kuamini siku nyingi.

CHADEMA sasa inategemewa na Watanzania kama chama kinachoweza kuongoza nchi kama CCM wataporomoka, lakini kwa haya mambo ambayo tunasoma, kweli mtaweza kuvuta watu huru katikati waje CHADEMA?

Nafikiri wakati umefika wa kuiona CHADEMA ni kubwa kuliko Mbowe na kuamua kuchagua kiongozi mwingine ambaye ataongoza chama katika kipindi hiki kigumu. Contribution ya Mbowe kwa CHADEMA ni kubwa sana lakini huenda uwezo wake umefikia hapo, inatakiwa watu wenye mawazo mapya, skills mpya na aina mpya ya uongozi.

Mimi nilifikiri Mnyika ndiye msemaji mkuu wa CHADEMA maana matamko mengi yanatolewa na yeye.

Dada Asha nimekusoma, ila kila nikisoma naona unajifunga kamba zaidi ya kujifungua. Wakati mwingine unaweza kuisaidia CHADEMA kwa kukaa kimya kuliko kuandika.

Thank you for this question! Mimi ni mmoja wao kama nilivyomweleza Asha hapo juu, naanza kusita sasa!
 
Mtanzania

1. Ripoti hiyo haikuwasilishwa mwaka 2007 ingawa kamati iliundwa mwaka huo. Ripoti ilitolewa Juni 28 mwaka 2008. Sababu nyingine ya Kamati Kuu kuikataa ripoti ni kuwa imepitwa na wakati. Mapendekezo yake mengi yalishapita muda wake wa kufanyiwa kazi. Kwa mfano wakati ripoti inazungumza kuhusu Dereva Pela kunangwa kuwa amenyimwa ajira CHADEMA huyu jamaa Mpaka Kieleweke amemtaja kuwa ni dereva wa CHADEMA siku nyingi tayari.

2. Hebu sema, wapi nimejichanganya? Sema hoja mahususi. Kusema tu kwa ujumla namna hiyo ni kutaka watu wasiamini maneno yangu. Sema kitu mahususi. Ni kama mimi nikisema kwamba wewe unasema pumba tupu bila kusema pumba hizo ni zipi.

3. Hilo la Mnyika labda nikuulize swali moja. Nchimbi sio msemaji wa UVCCM? Sasa tuonyeshe tamko ambalo Mnyika amelitoa nje ya mamlaka yake. Matamko yote si yapo kwenye vyombo vya habari na hata tovuti ya chama chao? Tuonyeshe japo tamko moja tu ili tumsute huyo Mnyika kwa kuvuka mipaka yake. Halafu je, Mnyika kutoa matamko ndio sababu ya viongozi wa CHADEMA kujiuzulu kwa kushindwa kufanya kazi? Au pengine matamko yake yamewauma sana mnataka kumziba mdomo?

4. Kusema matamko mengi yanayoteolwa na yeye nayo ni reckless generalization, hebu tupe takwimu maana sisi tuwasikia zaidi wakina Mbowe, Zitto, Dr Slaa na Tumbo wakitoa matamko. Hebu substantiate hiyo allegation yako

Asha
 
Mwanakijiji,

Chama ambacho kinaendeshwa hivyo, unategemea report yao iwe na maajabu?

good point!

Muhimu hapa ni kile kinachoongelewa, kama ingelikuwa usomi na uwezo wa kuandika reports basi labda NCCR wangelikuwa mbele sana.

Kinachonishangaza mimi ni kwamba haya madai yapo tokea mwaka 2006 na sioni juhudi ikifanywa kuyatatua.

Unatatuaje madai ya namba za watu wa kabila fulani? Ni vigumu (kama haiwezekani kabisa) kubadilisha perception. Sasa ikitokea Chadema inaanza kukataza wachagga kupata nafasi zozote kwa vile kabila lao linafanana na Mwenyekiti (kama ripoti inavyosuggest) je Mchagga yule anaweza kulalamika Ukabila? Je akiingia mwenyekiti mwingine ambaye si mchagga na akakuta watu wanne wa Kabila lake tayari wako kwenye nafasi nani kati yao ajiuzulu?

Pia najiuliza kama akina Mziray walisema hayo mwaka 2007, kwanini CHADEMA wamemsimamisha Wangwe uongozi kwa kusema mambo hayo hayo?

Hapo kuna clue ya jambo zito.. je yawezekana wote wanachota kutoka kisima kimoja ndio maana unaona maji yote ni machafu na uchafu wao unafanana?

Mimi niliandika muda mrefu kwamba simwoni Mbowe kama leader, ni mpiganaji anayejua kutafuta anachokitaka lakini sioni kama ana skills za uongozi. Kadri ninavyosoma mambo ya CHADEMA nazidi kuamini kile nilichoanza kuamini siku nyingi.

Uongozi ni kitu kimoja ambacho ni mapungufu ya sehemu nyingi, na uongozi si sawa na kuwa mwanaharakati au mwanasiasa, na wala hauusiani na usomi. Kosa kubwa ambalo liko CCM na nje yake ni mara zote kufikiri kuwa kiongozi ni msomi, msemaji sana n.k

CHADEMA sasa inategemewa na Watanzania kama chama kinachoweza kuongoza nchi kama CCM wataporomoka, lakini kwa haya mambo ambayo tunasoma, kweli mtaweza kuvuta watu huru katikati waje CHADEMA?

Hilo swali nadhani unawaelekezea Chadema. Mimi siyo mwanachama wao.

Nafikiri wakati umefika wa kuiona CHADEMA ni kubwa kuliko Mbowe na kuamua kuchagua kiongozi mwingine ambaye ataongoza chama katika kipindi hiki kigumu. Contribution ya Mbowe kwa CHADEMA ni kubwa sana lakini huenda uwezo wake umefikia hapo, inatakiwa watu wenye mawazo mapya, skills mpya na aina mpya ya uongozi.

granted.

Mimi nilifikiri Mnyika ndiye msemaji mkuu wa CHADEMA maana matamko mengi yanatolewa na yeye.

Labda anazungumza kutokana na nafasi yake. Wengine tumesikia Tambwe Hiza anazungumzia suala la Muungano utadhani yeye ndiye msemaji wa CCM.. so haya ya usemaji siyo makubwa sana as long as msemaji huyo ana uwezo wa kufanya anachofanya. So far haijaoneshwa kuwa Mnyika hana haki/na hadhi ya kutoa matamko kwa niaba ya Vijana wa Chadema au kwa niaba ya Chama chake.

Dada Asha nimekusoma, ila kila nikisoma naona unajifunga kamba zaidi ya kujifungua. Wakati mwingine unaweza kuisaidia CHADEMA kwa kukaa kimya kuliko kuandika.

Uzuri wa kuzungumza ndugu yangu ni hata mawazo tusiyoyapenda. Jukumu letu ni kuonesha upungufu wake au udhaifu wake na siyo kumshambulia mtu anayetoa kwa kutaka akae kimya. Kuna watu wengi humu wanaweza kuambiwa wakae kimya kwa sababu mawazo yao yanajichanganya changanya au hayana mantiki. Hapana, hata kama hatukubaliani nayo au tunayakebehi, hatuna budi kuilinda haki yao ya kusema na kutaka kusikika.

So, Bi. Asha, please continue to speak your mind.
 
Na ripoti yenyewe ishajadiliwa hapa muda mrefu.

Matatizo yapi hayo ambayo ulitaka washughulikie mwaka 2007, hebu nieleze matatizo yapi speficially. Manake naona unawaza matatizo ambayo hayapo. Nimeeleza hapa kwamba hiyo Kamati imeandika uwongo mwingi sana.

Hilo la Viti Maalum Wabunge ulitaka walifanyaje? Maana wamelijadili mpaka kwenye mkutano Mkuu Agosti 13, mwaka 2006 Chama kikaona faida zilizopatikana na mchakato uliotumika na mapungufu yaliyojitokeza.

Chama kikabadili Katiba hiyo 2006 ili uteuzi wa viti maalum mwaka 2010, badala ya kufanywa na Kamati Kuu pekee ufanyike kwa ushindani wa kugombea kupitia Baraza la Wanawake wa CHADEMA(BAWACHA).

Halafu chama kikamaliza huu mjadala, mkutano mkuu kwa kauli moja na wakina Chacha Na Mziray wakiwepo na wao wakiunga mkono hoja ya kufunga mjadala na kusubiri 2010.

Sasa wewe ulitaka suluhisho gani zaidi mwaka 2007 kuhusu suala hilo? Ulitaka Chama kijitokeze na kuwakata Shingo wabunge wote watatu wa viti Maalum ambao ni ambao ni wachagga lakini wamechaguliwa kwa uwezo wao ili nafasi ziwe wazi?

Manake tume ya uchaguzi ndio inatangaza wabunge kwa vipindi vya miaka mitano, ulitaka wakatwe mapanga kwa uchagga wao ili wateuliwe makabila mengine?

Ni hao hao wakina Suzan Lyimo ambao wanapigwa vita ndio wanaotoa mchango mkubwa bungeni kwa elimu yao na uzoefu wao.

We ulitaka ateuliwe nani Mtanzania? Halafu labda turudi kwa CCM,mbona wabunge wa viti maalum wachagga ni wengi kuliko makabila mengine? Mbona hakuna anayesema?Hebu tupewe hapa orodha ya mikoa ambayo si Kilimanjaro ya Wachagga lakini ina wabunge wa viti maalum wachagga. Hebu be analyitical kidogo utupe hoja za upande wa pili.

Naanza na Martha Mlata-huu ni mchagga anayewakilisha mkoa gani vile?

Na Lucy Nkya si Mbunge wa viti Maalum Morogoro, hivi naye ni kabila gani vile?

Asha

Kuna chochote cha ukweli (angalau kimoja) ambacho unaweza kusema ripoti hii imeongea?
 
Sikiliza Bi Asha,

Kwa bahati nzuri au mbaya sijawahi kuwa mwanachama wa chama chochote, na sikumbuki kama nimewahi kupiga kura! Lakini nilikuwa nina mpango wa kutumia haki 2010 maana nafikiri nitakuwepo nyumbani, na kwa kupitia JF na kufuatilia mambo yanavyokwenda nyumbani nilikuwa nimeanza kuvutiwa sana na CHADEMA (the first thing you should know about me ni kwamba I HATE CCM), lakini sasa ninapoona habari kama hizi kwa kweli ninashtuka na kujiuliza kama uamuzi wangu ni sahihi.

Michango yako inatia shaka na msimamo wako! Soma hoja zangu zote na zile links za Paparazi Muwazi halafu tembelea pia www.chadema.net ili ukifanya maamuzi ufanye maamuzi ukiwa full informed. Ama sivyo utakuwa mwanachama bendera. CHADEMA haipaswi kuwa na wanachama tiara, lazima wanachama wakijue chama na wafuatilie mambo ya chama na wawe tayari kueleza kuhusu chama chao kama Kitila Mkumbo. Ukishasoma yote hayo tuwasiliane kupitia ashabdala@yahoo.com au ashawazenj@gmail.com. Karibu sana chama cha demokrasia na maendeleo.

Asha
 
Angalia jinsi hawa jamaa walivyo wazushi na wazandiki. CHADEMA makao makuu hakuna afisa yoyote anayeitwa Regina Mrema. Sasa hii ni sehemu moja tu yenye uwongo wa dhahiri wenye kuchochea ukabila. Mnakumbuka hapa niliwahi kumzungumzia dada mmoja aliyekuja kwetu Zanzibar akiitwa Regia Mtema, huyu ndiye wanayemsema. Na masikini binti wawatu mwenye ulemavu lakini mchapa kazi kweli wala sio mchagga. Ni mtu wakutoka Morogoro. Hana asili yoyote ya uchagga. Mimi nimepata nafasi ya kuonana nae. Alikuja kwenye Kongamano la Wanavyuo na Vijana katika siku ya Muungano 26 Aprili ambapo CHADEMA waliliandaa hapa Zanzibar. Ni afisa mwandamizi ya vijana, ndiye anayefanya kazi badala ya John Mnyika. Asha

Hivi wewe Asha wewe, kwa nini unadhani kwamba sisi tukuamini wewe dhidi ya Tume ya watu watano insiders wa CHADEMA walioandika ripoti ?

Wakati wewe ni kada, mpiga debe, mkereketwa, mtetea shutuma dhidi ya CHADEMA, kachero mtafuta maadui wa CHADEMA .

Nyote nyinyi ni insiders halafu mnatuambia mambo ambayo obviously yana uongo, manake yanajipinga.

Sasa sisi tujueje nani mwongo kati yenu?

Unafikiri Wapiga Kura wana patience ya ku sort out nani mwongo?

Chama lenu lina a big hedious mess right now.

Kubali hilo Asha. Kubali.
 
Michango yako inatia shaka na msimamo wako! Soma hoja zangu zote na zile links za Paparazi Muwazi halafu tembelea pia www.chadema.net ili ukifanya maamuzi ufanye maamuzi ukiwa full informed. Ama sivyo utakuwa mwanachama bendera. CHADEMA haipaswi kuwa na wanachama tiara, lazima wanachama wakijue chama na wafuatilie mambo ya chama na wawe tayari kueleza kuhusu chama chao kama Kitila Mkumbo. Ukishasoma yote hayo tuwasiliane kupitia ashabdala@yahoo.com au ashawazenj@gmail.com. Karibu sana chama cha demokrasia na maendeleo.

Asha

Ahsante sana!
 
Hivi wewe Asha wewe, kwa nini unadhani kwamba sisi tukuamini wewe dhidi ya Tume ya watu watano insiders wa CHAMEMA walioandika ripoti ?

Wakati wewe ni kada, mpiga debe, mkereketwa, mtetea shutuma dhidi ya CHADEMA, kachero mtafuta maadui wa CHADEMA .

Nyote nyinyi ni insiders halafu mnatuambia mambo ambayo obviously yana uongo, manake yanajipinga.

Sasa sisi tujueje nani mwongo kati yenu?

Unafikiri Wapiga Kura wana patience ya ku sort out nani mwongo?

Chama lenu lina a big hedious mess right now.

Kubali hilo Asha. Kubali.

Ahsante sana Kuhani, sikumjua vizuri huyu Bi. Asha kumbe ndo alivyo!! Duh!
 
CHADEMA wangekuja na hoja moja tu ambayo ingemaliza matatizo yotenayo ni kwamba hawa wenzetu wa kaskazini wako aggressive sana... na kila mahali unawaona wako karibu... eventually unashangaa chama kimekuwa kama cha kikabila vile lakini haikuwa nia yao...

Hoja yangu naitetea kwa ku-refer 2005 general election... Kwenye wagombea idadi kubwa ilitoka kilimanjaro kwa demokrasia lakini pia kwa kujipitisha wenyewe... na hii ni country wide... na wala haikuwa CHADEMA.

1. SAU - Paul Kyara
2. TPP - Anna Senkoro
3. NCCR - Senkondo Mvungi
4. TLP - Augustine Mrema
5. CHADEMA - Freeman Mbowe
6. MAKINI - Prof. Leonard Shayo.

7. CCM - Jakaya Kikwete
9. CUF - Lipumba
10. DP - Mtikila
10. NLP - Makaidi
Ukiangalia zaidi ya 50% ya wagombea walitoka kaskazini tena walitoka kwenye vyama tofauti... haya haya ndio yanayotokea kwenye taasisi mbalimbali za serikali... issue hapa ni kukubali na kuangalia mifumo... sasa ifanyike vipi ili vyama at least vionekane vya kitaifa. Mambo ya kukataa ukweli ni unafiki mkubwa sana.

Pia kuhusu Dr. Slaa na Zitto kutaka kujiuzulu ni jambo ambalo linaweza kuwa lilitokea... lakini naomba kuwakumbusha kwamba kama kuna kitu mbunge wa kuchaguliwa ambacho atakifanya cha mwisho kabisa ni kugombana na chama kiasi kwamba afukuzwe chama... maana italazimika uchaguzi uitishwe upya... hili wabunge wote wa pande zote hawalipendi hata kidogo...watakaa kiunafiki mpaka kipindi cha dirisha dogo la usajili... ndio kila mmoja anaangalia upepo...

Kuthibitisha hivi wabunge wa-upinzani wanapiga kelele lakini ku-piga kura ya "NO" kwenye bajeti ya serikali hawafanyi hivyo hata siku moja.... maana hawataki kurudi kwenye kura tena.
 
Ripoti hii ya utafiti wa kamati ya Mziray ndiyo ilikataliwa na FREEMAN MBOWE lakini pia haikiwahi kuwekwa wazi kwa watanzania, hususan mashabiki, wapenzi na wapiga kura wa CHADEMA.

Kumbe hii ripoti haikuwekwa wazi na pia ilikataliwa hata bila kujadiliwa na Mwenyekiti wa Chadema?

Halafu mnatuambia kuwa hii ni tofauti na Meremeta na Pinda?
 
Hivi wewe Asha wewe, kwa nini unadhani kwamba sisi tukuamini wewe dhidi ya Tume ya watu watano insiders wa CHAMEMA walioandika ripoti ?

Wakati wewe ni kada, mpiga debe, mkereketwa, mtetea shutuma dhidi ya CHADEMA, kachero mtafuta maadui wa CHADEMA .

Nyote nyinyi ni insiders halafu mnatuambia mambo ambayo obviously yana uongo, manake yanajipinga.

Sasa sisi tujueje nani mwongo kati yenu?

Unafikiri Wapiga Kura wana patience ya ku sort out nani mwongo?

Chama lenu lina a big hedious mess right now.

Kubali hilo Asha. Kubali.

Kuhani MKUU wa MARUHANI

Karibu tena! Naona wakati ule ulinikimbia katika huu mjadala sasa umerejea tena na propaganda zako za kuichafua CHADEMA kwa staili ya kuandika kama vile unaionea huruma vile, kama una nia njema vile.

I like your style! Sasa kabla sijaingia hoja zako, hebu rudi soma tena maneno yako na maswali yako. Ni ishara kwamba ume-panic kwa kuwa nimeanika ukweli kwa muda mfupi na kuvunja misingi yote ya propaganda zenu!

Sasa unaweweseka na kuniita majina yote uyapendayo! Ilooooooooo

Sasa nije kwenye hoja yako, nia yako ni kuonyesha kwamba mimi ni muongo ili watu wapoteze imani kwa maneno yako. Onyesha uwongo wangu tafadhali.

Sasa nakupa ushahidi kwamba CHADEMA ina afisa anayeitwa Regia Mtema na si Regina Mrema. Nao ni nyaraka hii toka kwenye official source, website ya chama:
Mawasiliano zaidi yafanyike kupitia:

Kurugenzi ya Vijana
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)
Makao Makuu
Kinondoni, Mtaa wa Ufipa
P. O. Box 31191
Dar e salaam
Tanzania
Simu/Faksi: 2668866
A-pepe: vijana@chadema.net

Bw. John Mnyika (Mkurugenzi wa Vijana)- mnyika@chadema.net na 0754694553
Bi. Regia Mtema (Afisa wa Vijana)- chademav@yahoo.com na 0713760534

Nimeitoa toka hapa:http://www.chadema.net/mabaraza/bavicha/08/waraka1.php

Haya mpigie simu basi Dada Regia hapo uthibitishe kama kwamba sio mchagga.

Asha
 
CHEDEMA Mnaona wanavyojua ku spin,Chama gani hicho ambacho mtu akikurupuka tu nakusema tuunde kamati na kamati inaundwa.

Kwa hiyo chacha naye akisema kamati iundwe kumchunguza mbowe maana anazifisadi fedha za chama mtaunda hiyo kamati??

CHADEMA hakuna kitu kama mnategemea ndio chama mbadala mtasubiri weeeeeeeee mpaka miguu izame tumboni.Ktk kila sehemu hata kama ni mbaya kuna watu wema ndivyo ilivyo kwa chadema ,ccm na kwingineko.
 
UKWELI WA MOSHI UNAOFUKA NDANI YA CHADEMA
Mwenyekiti anamshirikisha vipi Makamu katika utendaji wa kazi tumebaini kwa waliohojiwa kuwa Mwenyekiti huteua baadhi ya watendaji kufanya nao kazi au kuwapa maagizo ya ofisi.

Mwenyekiti anapokuwa safarini hufanya mawasiliano na Bw. JOHN MNYIKA badala ya kuwasiliana na Makamu Mwenyekiti kama mtendaji wa shughuli za chama.

Mbowe anajua kuwa Mnyika ni bwana mdogo na atamsikiliza hata kama anaongea pumba hawezi kumchallenge sana kwa sababu wote wameishia form six.
 
Back
Top Bottom