Ripoti ya mauaji maalbino (za leo leo)

Iga

Senior Member
Dec 17, 2007
112
6
REDIO mbao na bati mitaani zinasema kwamba ripoti ya kuwapigia kura wanaotiliwa shaka dhidi ya mauaji na uponzaji wa mauaji ya maalbino huenda isitoke maana wengi waliopigiwa kura na viongozi wa nani hino na nani hino, yaani, mwanawane, ni wakubwa, wazito, chuma, vigogo na magogo makubwa makubwa tuuuuu!

Nafunga ulimi wangu nisijeambiwa miye mwongo wallahi. Lakini hili nimelipata kwa mweka makaa kwenye jiko la ripoti ya tume husika kweli hivi laweza tena kuwa uzushi ?
 
Mimi nilidhani kuwa ripoti hii ni kwa ajili ya kusaidia upelelezi na si ya kuanika hadharani!!!
 
Wameona wanapigiwa sana kelele za ma-albino, siku hizi nasikia wanaenda kufanya makafara Nigeria (huko wanachinja wazungu)
 
Back
Top Bottom