Time is time
Senior Member
- Jul 17, 2013
- 180
- 36
Kuna Id nyngine tunadhani tunajibishana na mtu kumbe ni MISUKULE iliyowekwa humu,
Kama huu musukule Baghdady
Kama huu musukule Baghdady
Kwa kasi yenu ya kufyatua viuzi inatupa mashaka sana kila sekunde kiuzi kinazaliwa humu jf kuhusu escrow na ripoti. Mmejipanga vizuri kuupotosha umma lakini ukweli utasimama milele fedha za escrow toka escrow inaanzishwa mpaka kufungwa kwake hazijawahi kuwa fedha za umma.